Kombati za CHADEMA mpaka siku ya harusi ; safi sana jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
MAMBO YA TAI YAMEPITWA NA WAKATI NYIE MABRONZO ONA NDOA ILIVYOONDOKA SIMPLE WATU WASHAANZA KULA TUNDA KILA HALALI UITAJI UENDE PARADISE
KILA LAKHERI

3.jpg
 
HAPA BINTI ANAMWAMBIA NTAKUFA NA WEWE CHADEMA MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU HNY ILA WALE VIDOSSHO WA VITIMAALUM
NISIONE MSG ZAO OVYO PLS
4.jpg
 
MZEE WA UBUNGO NAE ALIKUWEPO ILA ALIKUJA NA RANGI YA KIVYAKE SIO BLACK KAMA WENZIE
11.jpg
 
HUYU JAMAA ANAWAKABIDHI WENZIE VYETI VYA NDOA LAKINI NDOA YAKE WADAU WANASEMA BADO INAPUMUA ICU SASA TUANGALIE JAMANI NA WANAOTUGAIA VYETI
7.jpg
MSIJE BEBA SHIDA ZAO MKHAMISHIA KWENU
 
KUSHOTO MBUNGE WA VITI MAALUM MTRAJIWA 2015
MAMA G LEMA NAE ALIKUWEPO NA MUMEWE

n.jpg
 
Wanachedema kama kweli mnaamua hivi hakika yaani maisha kwa kila mtanzania yanaanzia kwenye familia zetu kabla ya kusubiri mh silaa kuingia madarakani 2015..na tusisubiri jamani tupate laki 4 za suti za paradise ama mareado
laki 4 unapata kombati za chadema 15 wewe wasaidizi wako na wale wanaume wanaokuwepo kwenye usimamizi sijui mnawaitje imagine yaani hata mkitaka kuachana mkiangalia makombati ya chama mnarudiana fasta ..mh chairman naomba siku moja chadema tuanzishe duka la kombati zetu na ikiwezekana tufanye show ya wanamitindo siku moja tuweke makombati yetu mpwa uongo utatusaidia wengine kutorudi kiraracha mapema tukilia maisha maghumu
 
Pdidy ... hii harusi ni wapi imefanyika ndugu yangu ... tujuze pia hawa maharusi ni kina nani

au una hangover
 
Mdau ungetueleza huyo bwana harusi ni nani (kwajina na kazi)?
 
asante kwa kunisaidia kutoa mada

nimeileta muifanyie kazi sio tu kuipenda tuachane na manguo ya magharibi kombati mola la haja linatosha kuvuta tunda la milele maishan mwako tuwe wabunifu jamani sio tunadai maisha maghumu harusi mnagarami kweliii haya
chadema na sera ndoa za bei nafuu kazi kwako
 
mdau ungetueleza huyo bwana harusi ni nani (kwajina na kazi)?

akutumie kadi ya chama ama??mkuu nimetuma ombi kwa mhusika naona not richabo subiri akitoka fungate mpwa ni vigezo na masharti vinafanya kutokuwepo majina yao bila ruksa kila la kheri na wewe ukioa kwa style hii ni pm picha zako
ila kama utaitaji mishono na design plse pm fasta ama tuma denismandia@yahoo .com kwa ujasiriamali zaidi
 
ni nani huyo alioa? Ndoa imefanyika serikalini naona bendera ya tanzania pembeni

mkuu mbona ya israel kule kanisani uzioni??amesahau kuweka ya chadema walisema tumechelewa kutuma maombi
 
Back
Top Bottom