Kombati za CHADEMA mpaka siku ya harusi ; safi sana jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kombati za CHADEMA mpaka siku ya harusi ; safi sana jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 5, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  MAMBO YA TAI YAMEPITWA NA WAKATI NYIE MABRONZO ONA NDOA ILIVYOONDOKA SIMPLE WATU WASHAANZA KULA TUNDA KILA HALALI UITAJI UENDE PARADISE
  KILA LAKHERI

  [​IMG]
   
 2. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Ndo maana yake
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  HAPA BINTI ANAMWAMBIA NTAKUFA NA WEWE CHADEMA MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU HNY ILA WALE VIDOSSHO WA VITIMAALUM
  NISIONE MSG ZAO OVYO PLS
  [​IMG]
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  CHAIRMAN NAE ALIKUWEPO
  [​IMG]
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  MZEE WA UBUNGO NAE ALIKUWEPO ILA ALIKUJA NA RANGI YA KIVYAKE SIO BLACK KAMA WENZIE
  [​IMG]
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  HUYU JAMAA ANAWAKABIDHI WENZIE VYETI VYA NDOA LAKINI NDOA YAKE WADAU WANASEMA BADO INAPUMUA ICU SASA TUANGALIE JAMANI NA WANAOTUGAIA VYETI [​IMG]MSIJE BEBA SHIDA ZAO MKHAMISHIA KWENU
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Back again Malaria Sugu, teh teh teh
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  KUSHOTO MBUNGE WA VITI MAALUM MTRAJIWA 2015
  MAMA G LEMA NAE ALIKUWEPO NA MUMEWE

  [​IMG]
   
 10. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kweli nimeipenda hii
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  asante kwa kunisaidia kutoa mada
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ngongo akiwaona hawa watu,........ sijui aiseeee!
   
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  John Heche mbona yuko kivingine? au ni macho yangu, siye?!
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Wanachedema kama kweli mnaamua hivi hakika yaani maisha kwa kila mtanzania yanaanzia kwenye familia zetu kabla ya kusubiri mh silaa kuingia madarakani 2015..na tusisubiri jamani tupate laki 4 za suti za paradise ama mareado
  laki 4 unapata kombati za chadema 15 wewe wasaidizi wako na wale wanaume wanaokuwepo kwenye usimamizi sijui mnawaitje imagine yaani hata mkitaka kuachana mkiangalia makombati ya chama mnarudiana fasta ..mh chairman naomba siku moja chadema tuanzishe duka la kombati zetu na ikiwezekana tufanye show ya wanamitindo siku moja tuweke makombati yetu mpwa uongo utatusaidia wengine kutorudi kiraracha mapema tukilia maisha maghumu
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Pdidy ... hii harusi ni wapi ime[FONT=&quot]f[/FONT]anyika ndugu yangu ... tujuze pia hawa maharusi ni kina nani

  au una hangover
   
 16. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Mdau ungetueleza huyo bwana harusi ni nani (kwajina na kazi)?
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  nimeileta muifanyie kazi sio tu kuipenda tuachane na manguo ya magharibi kombati mola la haja linatosha kuvuta tunda la milele maishan mwako tuwe wabunifu jamani sio tunadai maisha maghumu harusi mnagarami kweliii haya
  chadema na sera ndoa za bei nafuu kazi kwako
   
 18. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni nani huyo alioa? Ndoa imefanyika serikalini naona bendera ya Tanzania pembeni
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  akutumie kadi ya chama ama??mkuu nimetuma ombi kwa mhusika naona not richabo subiri akitoka fungate mpwa ni vigezo na masharti vinafanya kutokuwepo majina yao bila ruksa kila la kheri na wewe ukioa kwa style hii ni pm picha zako
  ila kama utaitaji mishono na design plse pm fasta ama tuma denismandia@yahoo .com kwa ujasiriamali zaidi
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona ya israel kule kanisani uzioni??amesahau kuweka ya chadema walisema tumechelewa kutuma maombi
   
Loading...