komba awaponda na kuwatishia wapinzani live leo bungeni.

chitemo nakushauri nawe andaa maanadamano ya kumkataa mbunge wako komba, waamboe wanachi wa vijji vyako mbunge wenu kazi mliyomtuma ni kusinzia
 
Dawa yake inaitwa PIRITON........akisikia CHADEMA wanaongea halali..........wakiongea magamba wenziye analala

mh%2Bkomba.jpg


Na ole wako na iku ya kudundana humo bungeni huwe uko katika hali kama hii sijui utamlaumu nani.nakuonea huruma sana maana hilo tumbo sijui itakuwaje.sali sana ngumi zisije zikafumuka humo utakuwa gunia la kujifunzia we jifanye unajua tu.
 
Sio wote mjomba tulimpigia kura huyu Komba bali hapakuwa na mgombea wa upinzani kuweza kusimama dhidi ya hili jitu. There4 wananchi wa Mbinga magharibi hatukumtuma atukane balimawe sauti yetu kusemea kero zinazotukabiri. Jimbo limelala sana kuanzia vijiji Lituhi, mbaha, lundu, hinga, ngumbo, mkili, liwundi, njambe, tumbi, liuli, lundo, mbambabay, etc watu wana ari ya kuona jimbo lao likipiga hatua ya kimaendeleo.

Basi Chitemo, fanyeni kweli sasa. Anzeni kujiandaa tangu sasa...msibaki kulalamika wakati mabadiliko yanaweza kuletwa na ninyi. Kwa hali ilivyo hivi sasa yeye ndiye anawawakilisha;mpaka pale mtakapompiga chini.
 
Last edited by a moderator:
Jamani katika kufanya mabadiliko ya kidemocrasia ya kweli.

WATU KAMA HAO WAROPOKAJI MUHIMU KWA KUKUA KWA HOJA ZA UPINZANI.

Me binafsi watu kama komba,lusinde,nape,mwigulu nawapenda sababu wanaropoka vitu ambavyo ata uwe mtu mpumbavu kiasi gani uta gundua kuwa ni ujinga mtuu so effect yake apo ni kuonekana kuwa chama chao hakiwafundi jinsi ya kuspeak kwa public.
 
Huyo ni mbunge wa jimbo langu, pimbi sana hafanyi lolote. Wananchi wameshamchoka sana!
 
Back
Top Bottom