Historia ya Komandoo Tarimo

Mzee umetunywesha sumu siyo kweli,unamzungumzia ni Canal mahfudh siyo Tamim! Ndiyo alipelekwa Msumbiji na alifia huko.

Kwani Kuna Ligi Tunayoshindania Hapa? Haya Basi Ninayemzungumzia Hapo Siyo Wote Hao Bali Ni Commando Yosso Je Una Jingine Tena?
 
acha uongo cuba hupajui, sisi tumeishi.huko fidel hana midle name ya armando ni fidel castro ruz, alikua na akina camilo ciemfuego ,che, echeveria na makamanda wengi. tamim mohamed kapata mafunzo ktk kambi ya playa giron na hana familia msumbiji wala nyumba

Maelezo Meeeeeeengiiiiiiiiiiii Kumbe Unataka Tu Kutuambia Na Kututambia Kuwa Umekaa Kama Siyo Kuishi Nchini Cuba Wakati Huna Lolote.
 
Maelezo Meeeeeeengiiiiiiiiiiii Kumbe Unataka Tu Kutuambia Na Kututambia Kuwa Umekaa Kama Siyo Kuishi Nchini Cuba Wakati Huna Lolote.

acha uongo na unafiki kama hujui omba uelimishwe kwa taarifa yako tamim alikua captain sawasawa na akina eugene maganga na zakaria hans pop,
 
kuna makomandoo huwa wanakuja kwenye maonyesho sabasaba labda mwaka huu atakuwepo unayemuulizia
 
Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania.

Je kuna mtu awaye yeyote mwenye ufahamu wa ili Jambo? naomba michango yenu zaidi.
kwahiyo ulitaka kumjua komandoo Tarimo au Tamim

Maana thread imepindishwa sana
 
Hawa mpango wao ulijeukwa na team zilizo soma Urusi na sundhust.
Sijui Urusi walilishwa nini?
Mcheki mzee Kingunge.......Ndio type hizo.
 
Duu,story taamu.ingetoka ktk kitabu.jina tubadilishe badala ya tamim tuweke mahfhuz
 
...Ndinani, umenikumbusha mbaaali sana, miaka ya 1983 au 1984 nikiwa shule ya msingi. Nilikua nafuatilia story za hawa jamaa waliokuja kujulikana sana baadae katika 'Kesi ya Uhaini'. Moja ya story ya Captain TAMIM ya kusisimua ni ile katika kukimbia asikamatwe na askari kanzu akaona lorry/gari ya wazi nyuma ikiwa imebeba crate kibao za bia akarukia na kudandia gari lile akaanza kuwavurumishia chupa za bia askari waliokuwa wanamfukuza ili wamkamate..., it is so sad kuwa ultimately akapigwa risasi na kuuwawa!

Two weeks ago nilienda Bukoba, pale airport nilikutana na mwenzao katika kesi ile, kama sijakosea anaitwa Captain Roberts. Wameshakuwa aged sasa hawa watu, unfortunately alikuwa kalewa sana. Angekua katika akili ya kawaida nilitamani kuongea nae nijue wakati huo walikusudia kuifanyia nini nchi zaidi ya kile tulichokuwa tunafanyiwa na viongozi wetu wakati ule...

Capt Robert namfahamu sana sana,miaka kadhaa huko nyuma nikiwa mdogo nilikuwa nakwenda sana nyumbani kwake na alikuwa akinisimulia story nyingi sana kuhusu hii nchi hata sijui yuko wapi now
 
Kwahiyo huyu Komando Tarimo ndo umempotezea kabisa? Au kwakuwa ni mchaga?
 
Mmenikumbusha mbali kuhusu Komandoo Tamimu. Habari ile ingeweza kutengeneza filamu (based on a true story). Kweli stelingi hafi. Alipouawa Tamimu tu na ladha ya story ikabadilika. Maskini Tamimu! Hivi hakumbukwi kama shujaa?
Hey kwanini waliomuua wasiiitwe mashujaa?
 
namshauri mleta uzi aandike historia ya komandoo hamza kalala au salmin amour. hayo ya tarimo ayaache
 
acha uongo na unafiki kama hujui omba uelimishwe kwa taarifa yako tamim alikua captain sawasawa na akina eugene maganga na zakaria hans pop,

Huna Ukijuacho Wewe Na Nyie Ndiyo Wale Maaskari Mliopona Kupigwa Shaba Na Nduli Amini Na Mkakimbilia Mitaroni Pande Za Kule Kyaka!
 
Sina jingine nilitaka tu kudhihilisha UONGO wako basi otherwise sina cha kujadili na mtu mwongo.

Anyway Basi Tufanye Wote Hao Siyo Makomandoo Bali Komandoo Ni Paul Kagame Peke Yake. Je Na Huyu Nae Utasemaje? Twende Sawa.
 
Back
Top Bottom