Historia ya Komandoo Tarimo

Toka nizaliwe sijawahi Kuckia komandoo Tarimo we jamaa wa ajabu sana sasa uko njian kuandka ukiwa ujui lolote isijekuwa umekaa na babu yako kakucmulia uongo kashalewa mbege zake
Tz hakuna komandoo Tarimo
 
Mimi namkumbuka komando halisi TAMIM!! Wangapi mnamkumbuka huyu na alifanya nini? Hint: Unamkumbuka uncle Tom? Haya vijana somo la historia ya nchi yenu, waulizeni wazee wenu waliohai!!

Huyo Commando TAMIM Kwa Shughuli Yake Ilivyokuwa Pevu Na Alivyo Mahiri Ktk Fani Hiyo Hadi Alipewa Heshima Na Serikali Ya Msumbiji Kujenga Nyumba Yake Jirani Kabisa Na IKULU Ya Nchi Ya Msumbiji Na Kwa Faida Yenu Tu Hadi Sasa Makazi Ya Familia Yake Bado Yapo Nchini Msumbiji Pembezoni Kabisa Na Ikulu Yao.

Msumbiji Walimpenda Sana Kwa Kuwa Yeye Ndiye Aliyewafanyia UMAFIA Na Kuwapa Shughuli Pevu Wanajeshi Wa Kikaburu Hadi Wakachapa Lapa Na Kama Haitoshi Huyu Huyu TAMIM Ndiyo Aliyekuwa Rais Wa Cuba Comrade Wa Hayati Nyerere Fidel Armando Castro Alimwomba Kifimbo Ampe TAMIM Na Yeye ( Yaani Wa Cuba ) Watupe Makomandoo Wao Watatu.

Sasa Jiulize Huyu Jamaa Alikuwa Ni Extraordinary Kiasi Gani Hadi Wa Cuba Wakamtaka?
 
Uncle Tom alipigwa risasi na kuuawa siku moja kabla ya siku ambayo yangefanyika mapinduzi ya serikali ya Tanganyika.

Baada ya maiti yake kupekuliwa alikutwa na karatasi yenye majina ya viongozi mbalimbali wa jeshi pamoja na mawasiliano yao jambo ambalo liliwatia mashaka wana Usalama maana uncle Tom alikuwa most wanted na ilikuwa ishatolewa amri ya kukamatwa au kuuawa pale atakapoonekana ndani ya Tanganyika.

Ndipo ukaanza msako wa kukamata kila aliyeonekana kwenye ile karatasi na mpango mzima wa mapinduzi kuwa wazi....

Na mastermind na aliyekuwa kiongozi wa kuzima hayo mapinduzi alikuwa Mabele Nyaucho Marando.
 
Huyo Commando TAMIM Kwa Shughuli Yake Ilivyokuwa Pevu Na Alivyo Mahiri Ktk Fani Hiyo Hadi Alipewa Heshima Na Serikali Ya Msumbiji Kujenga Nyumba Yake Jirani Kabisa Na IKULU Ya Nchi Ya Msumbiji Na Kwa Faida Yenu Tu Hadi Sasa Makazi Ya Familia Yake Bado Yapo Nchini Msumbiji Pembezoni Kabisa Na Ikulu Yao. Msumbiji Walimpenda Sana Kwa Kuwa Yeye Ndiye Aliyewafanyia UMAFIA Na Kuwapa Shughuli Pevu Wanajeshi Wa Kikaburu Hadi Wakachapa Lapa Na Kama Haitoshi Huyu Huyu TAMIM Ndiyo Aliyekuwa Rais Wa Cuba Comrade Wa Hayati Nyerere Fidel Armando Castro Alimwomba Kifimbo Ampe TAMIM Na Yeye ( Yaani Wa Cuba ) Watupe Makomandoo Wao Watatu. Sasa Jiulize Huyu Jamaa Alikuwa Ni Extraordinary Kiasi Gani Hadi Wa Cuba Wakamtaka?

Unamzungumzia Kanali Mahfoudh au?
 
Teh teh teh lazima sasa hivi atakuwa jambazi sugu duh Jina hilo la kirombo limeniacha hoi et Komandoo Tarimo, hahahaha atatokea mwingine atajiita komandoo Mushi hahahaa mara komandoo njau eehehehe

Komandoo jina kama ally au john. Komando bin tarimo
 
Mi namjua komando KIZITO.......Aisee huyu jamaa stori yake inatisha kwelekweli sijui amepotelea wapi huyu komando.....
 
Huyo Commando TAMIM Kwa Shughuli Yake Ilivyokuwa Pevu Na Alivyo Mahiri Ktk Fani Hiyo Hadi Alipewa Heshima Na Serikali Ya Msumbiji Kujenga Nyumba Yake Jirani Kabisa Na IKULU Ya Nchi Ya Msumbiji Na Kwa Faida Yenu Tu Hadi Sasa Makazi Ya Familia Yake Bado Yapo Nchini Msumbiji Pembezoni Kabisa Na Ikulu Yao. Msumbiji Walimpenda Sana Kwa Kuwa Yeye Ndiye Aliyewafanyia UMAFIA Na Kuwapa Shughuli Pevu Wanajeshi Wa Kikaburu Hadi Wakachapa Lapa Na Kama Haitoshi Huyu Huyu TAMIM Ndiyo Aliyekuwa Rais Wa Cuba Comrade Wa Hayati Nyerere Fidel Armando Castro Alimwomba Kifimbo Ampe TAMIM Na Yeye ( Yaani Wa Cuba ) Watupe Makomandoo Wao Watatu. Sasa Jiulize Huyu Jamaa Alikuwa Ni Extraordinary Kiasi Gani Hadi Wa Cuba Wakamtaka?

Unamzungunzia Ali Mahfoudh... Mzanzibar huyu
 
Uliza familia yake, tafuta picha yake uweke pamoja navitu aliofanyia taifa si kuleta porojo.

Huyu yupo kigogo sambusa
1429725671150.jpg
 
Hakuna komandoo dunia hii anaitwa Tarimo...kina Tarimo wafanya biashara Arusha na Mwanza. Ukomandoo wapi na wapi?

endelea kujidanganya...tafuta kina komandoo gorilla ni wa wapi ndo uache kupayuka
 
Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania.

Je kuna mtu awaye yeyote mwenye ufahamu wa ili Jambo? naomba michango yenu zaidi.

Pole sana ndugu yangu kwa kujaribu kuandika historia ya kitu usichokijua! Komandoo Tarimo ni nani huyo?
 
Huyo Commando TAMIM Kwa Shughuli Yake Ilivyokuwa Pevu Na Alivyo Mahiri Ktk Fani Hiyo Hadi Alipewa Heshima Na Serikali Ya Msumbiji Kujenga Nyumba Yake Jirani Kabisa Na IKULU Ya Nchi Ya Msumbiji Na Kwa Faida Yenu Tu Hadi Sasa Makazi Ya Familia Yake Bado Yapo Nchini Msumbiji Pembezoni Kabisa Na Ikulu Yao. Msumbiji Walimpenda Sana Kwa Kuwa Yeye Ndiye Aliyewafanyia UMAFIA Na Kuwapa Shughuli Pevu Wanajeshi Wa Kikaburu Hadi Wakachapa Lapa Na Kama Haitoshi Huyu Huyu TAMIM Ndiyo Aliyekuwa Rais Wa Cuba Comrade Wa Hayati Nyerere Fidel Armando Castro Alimwomba Kifimbo Ampe TAMIM Na Yeye ( Yaani Wa Cuba ) Watupe Makomandoo Wao Watatu. Sasa Jiulize Huyu Jamaa Alikuwa Ni Extraordinary Kiasi Gani Hadi Wa Cuba Wakamtaka?

Mzee umetunywesha sumu siyo kweli,unamzungumzia ni Canal mahfudh siyo Tamim! Ndiyo alipelekwa Msumbiji na alifia huko.
 
Huyo Commando TAMIM Kwa Shughuli Yake Ilivyokuwa Pevu Na Alivyo Mahiri Ktk Fani Hiyo Hadi Alipewa Heshima Na Serikali Ya Msumbiji Kujenga Nyumba Yake Jirani Kabisa Na IKULU Ya Nchi Ya Msumbiji Na Kwa Faida Yenu Tu Hadi Sasa Makazi Ya Familia Yake Bado Yapo Nchini Msumbiji Pembezoni Kabisa Na Ikulu Yao. Msumbiji Walimpenda Sana Kwa Kuwa Yeye Ndiye Aliyewafanyia UMAFIA Na Kuwapa Shughuli Pevu Wanajeshi Wa Kikaburu Hadi Wakachapa Lapa Na Kama Haitoshi Huyu Huyu TAMIM Ndiyo Aliyekuwa Rais Wa Cuba Comrade Wa Hayati Nyerere Fidel Armando Castro Alimwomba Kifimbo Ampe TAMIM Na Yeye ( Yaani Wa Cuba ) Watupe Makomandoo Wao Watatu. Sasa Jiulize Huyu Jamaa Alikuwa Ni Extraordinary Kiasi Gani Hadi Wa Cuba Wakamtaka?

acha uongo cuba hupajui, sisi tumeishi.huko fidel hana midle name ya armando ni fidel castro ruz, alikua na akina camilo ciemfuego ,che, echeveria na makamanda wengi. tamim mohamed kapata mafunzo ktk kambi ya playa giron na hana familia msumbiji wala nyumba
 
Back
Top Bottom