Koleji mamtoni, jobu kitaani? Kakwambia nani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Koleji mamtoni, jobu kitaani? Kakwambia nani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Saint Ivuga, Jun 27, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  Gozigozi nililoliekspiriensi zenji zis taimu ndio nimebilivu kwamba mwanangu ukipewa ishu na mtu ambaye dizaini anaweza akalingana na mshua wako ki1eji, ..usipotezee ile mazima. Lifanyie kazi mwanangu hilo jambo la sivyo linawezaq kukuzingua mbele mbele huko halafu ikawa taabu, halafu uikumbuka ndio unaona dah...
  ..ulizingua!

  Wanangu VP?
  Niko kitaa longtaimu jana niliibuka mitaa ya Ngome nini nikamcheki mtu mzima Shaggy na wanangu wa BongoMuvi, ikawa shwari ingawa wanangu nao kwa mapozi...
  Mnh..

  Big Up kwa mwanangu Steve Nyerere, hana maringo wala nini mchizi kama stori zinaanguka stori mwanzo mwisho kama komedi komedi kama gambe ndio usimwambie kitu huyu jamaa analiweza, na hivi ndio masela wa tauni tunavyolisongesha.
  ..sio mambo ya kuuza nyago mpaka kitaa, kuuza kunaishiaga kwenye skrini wanangu, huku kitaa si muishi kawaida tu? Hamumuoni mwenzenu Klaudi na dude wanavyojimiksi?

  Enewei hapa sio mahala pa kuchanana ile kwa sana hapa ngoja tupeane ishu za msingi ambazo deile zinakuwa zinaimiksi jamii yetu ya kibongo na leo mwanangu nimekuja na ishu moja, hili suala la kuhaso mwenyewe, kutafuta chuo mtoni kivyako baada ya kuzinguliwa sana na masponsa wa homu ikiwemo gavamenti, kuzinguliwa sana ubalozini katika kutafuta viza, ukipata hiyo edukesheni kuna haja ya kuja homu eti kujenga Taifa?
  uzalendo eti jamani....

  halafu mizinguo zaidi ni kwamba mwanangu ukirudi hiyo homu sasa, kupata hiyo jobu inakuwaga mizinguo mwanzo mwisho, ni mpaka upate mtu anajuana na mtu ambaye anamjua mtu ili amwambie mtu kwamba ndio umedondoka nini mtu mzima, na uko fiti kupiga mzigo sehemu flani flani, kama ukikosa mtu wa kumwambia mtu ndio utakaa na sisi maskani mpaka mwisho wa dunia.
  ...kudadadadadeki!

  Sasa huo uzalendo au uzandiki mwanangu mwenyewe, si bora nilikite tu mtoni nirekebishe? Maana kama homu hamna jobu wala nini halafu najifanya mzalendo saaaana eti unarudi homu kuja kunyanyasika.
  Zee kama zee siwezi kuleta zile la heri kualiwa dogi mamtoni kuliko binadamu bongo, dogi ni dogi tu mwanangu, na binadamu ni binadamu lakini likija suala la maisha bora, mpaka sasa mtoni kunameki hedlaini, ni bora mtoni.
  Bongo jobu kwa kujuana, sasa haukamz nisumbuke kule halafu nirudi tena kusota homu?

  Mwanangu mwana FA si kapiga mastaz mtoni, ila mpaka leo anapiga zake dili za muziki tu, nkila wanaomuaprochi dau linakuwa mizinguo, anaona bora apige shoo tu kila wiki milioni milioni zinakuwa zinahusika.
  halafu mizingua yao sasa ukitinga na madokumenti nini unaambiwa mpaka uwe na uzoefu wa miaka mitano, hilo ni zengwe la wakati mzee unatafuta jobu, sasa uzoefu unakuwa umeupata wapi wakati mtu mzima ndio umedondoka?
  Hapa ndio ishu feki zinapoanzia, nitatafuta mwanangu yeyote mwenye kampuni, mtu mzima najimiksisha naye awatonye jamaa kwamba nilipiga mzigo kwake ili kieleweke...
  ...kuna nini tena?

  lakini sana sana mwanangu mwenyewe, wengi wetu wanaorudi homu kutoka mtoni wanakuwa wanishia kitaa na inakuwaga hailipi wala nini, mizinguo tu, bora kulikita mtoni kama vipi...
  Mi nasepa wanangu, ..wanlav1
  .
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Dah! Tuliozaliwa Ibisabagenyi hapa tumetoka sifuri!
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mwanamziki mmoja wa kenya alifanya show tz na baada ya kushuka jukwaani wanamziki wenzake wakamwambia ...wewe ms€*g£ ni noma yani hufai... Yeye 'akavunjika moyo' akijua amefanya vibaya kumbe ndio anasifiwa.
   
 4. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaa...nisaidie kamusi ya hii lugha waungwana
   
 5. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaha...kamusi jamani
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  lol....

  Ukiingiza biti hapo tayar ushapata single ya ukweli..
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  hahaaa kifimbo cheza asije akapita hii mitaa tu
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sijui niite bongo slang maana duh swagga tupu!!
   
 9. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mtoa maada ntakuhtaji baadae nikuchukue maelezo. Ntahtaj kwanza kjua unaitwa nan na hii thrd iko jukwaa gani maana nimeikuta kwenye new posts
   
 10. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  AAAAAAAAAh, mwanangu bongo sirudi hata kwa mtutu, nilijifanya mzalendo nikarudi, nilisota kishenzi, nikaishiwa hamu, ila nilipopata tundu la kutoka, nilitoka nduki na nimeapa sirudi, labda kwa matatizo, alaaaaaa, bongo life tight, mtu unashindia ubuyu menu hola.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  haina majotrooo mwane one..hap ni hai sipidi tu babake...wewe usikonde..mimi ni mwana wa kitaa japo sifagiliagi kuuza nyago.pamoja sana
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  hahahaaa babu pande zako zile za kikombe umemwachia nani? kule kuna wana kibao tu wakitaa walitinga kwako kukamata ki kapu baab. wana kumbe walikuwa wanauza nyago kitaa lakini mambo flani sio walikimbia angaza, si unajuaaaa? ila badae stori zilivyoanza kusambaa kitaa kuwa wana mambo flan sio watu wakaanza kuwaona wana kuwa ni miyeyusho , si unajua mambo flan?.....masista du wa kitaa kwetu sasa hivi wote scare hawataki kupiga misele na wale wana waliotinga kwako ,masista du wanaona nomaaaaa baab.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  ni noumer
   
 14. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Duh hii kali mwan kama vipi yaani nakupa magwala mwanangu, mistari umeshuka ya ukweli mbaya, yaani mpaka nooma masela
   
 15. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,355
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Maselaeeee hii freshiii aiseee.... biti hii ukipeleka kwa Masta Jei ngoma ya maana utatoka na fweza zitakutingia mwanangu, kamua Sente Ivuga au vp, mwaanaaanguu eee nilipoisoma nikapata ile mbaya stimu mbaya hahahaaaaaa! Sente Ivuga nipe mwana alaf we kijana angalia masista duu wasikuzinguo huko alaaa!
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  Daaaah slang za kibongo bana zinauwa kabisa.
   
 17. m

  magneto Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkulu saint, nliiona kwenye mwananchi gazeti ya jmosi moko ivi so nachotaka hapa ni kujua mwana we ndo mwandishi au ndo vile ume-copy uka-paste
   
Loading...