Alikuwaga mke wa Filipo zamani...alikuwa anajulikana kama Kokunyegeza Filipo, labda sasa kajihamishia kwa Bishanga! Subiri Mungi akija atatusaidia kufafanua!

Afu koma kumwita Filipo bwana mdogo wakati ni kibabu cha haja... Mwenzio kasoma darasa moja na bi kidude afu unamwita bwana mdogo? Mtake radhi upesi!Hivi huyu bwana mdogo Filipo ana wake wangapi??huyu Kokunyegeza atakua kimada tu.... Madame B hebu tusaidie list ya Mr and Mrs's wa hapa Chit Chat..lol
Hivi huyu bwana mdogo Filipo ana wake wangapi??huyu Kokunyegeza atakua kimada tu.... Madame B hebu tusaidie list ya Mr and Mrs's wa hapa Chit Chat..lol