Kokunyegeza bishanga

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Jamani wana chitchat,nimekutana na dada mmoja pale kwenye treni ya Mwakyembe,akanieleza anaitwa KOKUNYEGEZA Bishanga.Naomba kumuuliza ndugu Bishanga,kwamba huyu ni mwanae au ndio my waif wake.....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mekumiss pia mwaya Mr Rocky ! Hao ulowataja ni memba wa jf? Majina mangeni kabisa kwangu!

wamejisajili tuu jana na leo eti wanajifanya wanakujua na wanataka urafiki na wewe sijui wamefikiri huku ni feis buk haswa huyo Mungi anajifanya anakujua sana
 
Last edited by a moderator:
Afu koma kumwita Filipo bwana mdogo wakati ni kibabu cha haja... Mwenzio kasoma darasa moja na bi kidude afu unamwita bwana mdogo? Mtake radhi upesi!

Nina mashaka...... Filipo atakua alishapita.....lol...haya mama Naomba msamaha!!
 
Last edited by a moderator:
Filipo eti una wake wangapi? Embu naomba uweke wazi ijulikane !!
Hivi vichochoko ndio vinafanyaga mtu atafute kuliwazwa !!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom