Kokoto

osnyo

Member
Nov 19, 2012
45
5
kwa mahitaji ya kokoto na mchanga kwa bei nafuu tafadhali piga simu namba 0655 214 505
 
Nahitaji roli 3 za kokoto hapa Jamhuri, Lindi. Ni karibu na soko la sabasaba haupandi sana kile kilima cha kwenda ofisi za usalama wa Taifa au magereza, Karibu tu na Mkonge sekondari bei gani mkuu?
 
Kha!atoe kokoto Dar azilete lindi?
 
Nahitaji roli 3 za kokoto hapa Jamhuri, Lindi. Ni karibu na soko la sabasaba haupandi sana kile kilima cha kwenda ofisi za usalama wa Taifa au magereza, Karibu tu na Mkonge sekondari bei gani mkuu?
Hahahahah watu mmepindaje??
 
Mi niko huku tunduma mpakani mwa zambia, nahitaji lori la mchanga mweupe. Kuna repair ya chumba kimoja nataka kufanya. Bei gani?
 
Nataka kokota uniletee huku Kyakampakani na kwa M7, tani 10 bei maelewano mzigo ukifika saiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom