Kohler utatufanya wana wa Arusha tuichukie CHADEMA

Gm32
Ahsante kwa fikra na busara zako hakika wewe umekomaa kimawazo na fikra pia lkn pia ni lazima tuwaeleze Wanachama na wapenzi wa Cdm sio kila jambo litalokalofanywa na viongozi wa chama litakuwa na positive emotional kwa wananchi. Ingekuwa vyema na busara kama Viongozi wa Cdm wangeleta Terms of Agreement kwa wananchi wa Arusha kabla ya kukubali huo mwafaka coz wananchi walidai uchaguzi urudiwe na si mgawanyo wa madaraka.

CUF inakufa kwa upuuzi huu huu wa mgawanyo wa madaraka na wezi wa mchana.Sasa CDM Arusha Mwigamba,Nassari,Lema Mnatueleza nini?Hatushabikii vurugu lakini maelfu ya watu wana uchungu na dhuluma na mauaji yaliyofanya na Polisi wa CCM hivyo maelezo ya kina na yenye mshiko tunayataka pale NMC haraka iwezekanavyo kabla hatujawaadabisha.
 
Tuko Pamoja mkuu Cdm ni yetu na ndo mkombozi wetu hatuwezi kuacha iingie shimoni.
 
kuna msemo kuwa anayemlipa mpiga gitaa ndiyo anayechagua music , tatizo watz bila kujali itikadi za vyama tumelemazwa na kupenda dezo cdm ruzuku wanayopata wanaweza kujiendesha wakitaka lkn fedha za kupewa zinawaponza kama kweli huyo x president wa German ameagiza hilo , natamani maisha marefu nione generation nyingine yenye yenye ubongo c matope kama hii .
 
kama wewe hujui cdm wanachotaka ni madaraka bado hujaanza kuwaza, hata sasa hivi mbowe akitangazwa kuwa waziri mkuu hatakuwa mpinzani wa ccm tena hata kama anatoka cdm
 
We kama una mpando wa kuondoka fanya hima. Hizo sababu za kitoto hazitoshi kukujengea uhalali wa maamuzi yako ya kipuuzi ambayo ushapanga kuyafanya. Ondoka faste,r hii chama tuachie sisi tuliokusudia kupambana bila kufuata mkumbo wa kupigana mabomu na kuwa hai. Shwain we...
 
Jaman huyu mleta thread ni mwana magamba, then kutuambia viongoz walifika saa 8 huo ni uongo, mm nilikuwepo katika matukio yote mwanzo mwisho.
Jamaa anatudanganya hapa! Then tulichopigania ni ni pamoja na kuwatumikia wana arusha so kwa kwa nafaasi tulizopewa hilo litafanyika mana tunaongoza kamati zote muhimu.
Cdm tumeona mbali.
Achaneni na mpuuzi huyu.
 
Hata sahau wanasiasa walivyotumia damu za wanaarusha kufanikisha malengo yao kisiasa kwani hujui kuwa yale maandamano yalikuwa yanapinga uchaguzi batili uliomweka meya wa ccm madarakani na dhamira ilikuwa uchaguzi urudiwe? ila kwa kuwa imejulikana jamaa walikuwa wanakipigia jaramba kiti cha umea na uongozi wamefunga ndoa "mwafaka" hakuna cha uchaguzi kurudiwa wala nini walie tu. Pipooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Haya ni mawazo yako binafsi, sisi wote ni watu wazima tunajuwa kusoma na kuelewa, lakini mtoa mada hajaeleweka, au kama wewe ndio msemaji wake ebu nieleze Kohler ni nini?
 
walifika saa nane mchana huku tukiwa na shauku kubwa ya kutoa heshima ya mwisho kwa mashujaa wetu. Walipanda jukwaani viongozi mbali mbali wa chama na dini wakituhamasisha hatutaacha kuandamana mpaka uchaguzi urudiwe, nasi tulishangilia tukiamini saa ya ukombozi imefika. Wengine walidiriki kusema ni Heri kufa ukiwa umesimama kwa miguu yako kuliko kuishi miaka mingi ukiwa umepiga magoti. Leo inasikitisha kuona Cdm wakikubali matokeo kwa kafara za wana Arusha coz wameshauriwa na KOHLER???!.

Hand and gloves! enhe endelea!
 
Mkuu kwa iyo we ulishanoa panga na mkuki ili vita iendelee au? Unawashauri nini wakenya na waziri mkuu wao mpya? Au tsvangrai na mugabe pale zbambwe? Kweli nimeamini kuna watu amani kwao si kitu.

Walishafananisha Amani na Kuolewa sasa wacha wapige kelele kwani kuolewa ni kwa mwanamke tu. Magamba vidume kweli wanaengeza wake tu, wa tatu huyu.
 
Walishafananisha Amani na Kuolewa sasa wacha wapige kelele kwani kuolewa ni kwa mwanamke tu. Magamba vidume kweli wanaengeza wake tu, wa tatu huyu.

Hii ndio shida ya kutumia makalio kufikiri badala ya ubongo, kule kigoma unajuwa ile Halmaashauri CHADEMA na CCM huwa wanaiongoza kwa style gani?
 
[h=2]
icon1.png
Wavamizi ndani ya JF, ni wakati wa kuwatambua![/h]
Yuko huyu FaizaFoxy, tarehe 7/6/2011 ametuma posts 75 kuanzia saa sita usiku Jumanne hadi saa sita usiku Jumatano. Huu ni wastani wa post zaidi ya tatu kwa saa, assuming halali kabisa na hana muda wa kusoma posti za wengine, je hii yawezekana ? Kwa mtindo huo atakuwa amefikisha posti 75 x 365 = 27,375 na kumpita Mwanakijiji aliyejiunga na JF mwaka 2006 ! Mfano kidogo ni posti zake hizi;

  1. 6.16 pm
  2. 6.19 pm
  3. 6.21 pm
  4. 6.24 pm
  5. 6.25 pm
  6. 6.26 pm
  7. 6.29 pm
  8. 6.29 pm
  9. 6.31 pm
  10. 6.32 pm
Hizi ni posti kumi kwa robo saa ! Kwa ufupi ni kuwa katika masaa 24 aliweza tu kupumzika kwa masaa chini ya manne (kati ya saa kumi usiku na saa mbili asubuhi), je ni binadamu au mashine ! Hapumziki, halali, hali, haogi, haendi chooni - anayo kazi moja tu kuitetea serikali ya KiweteKikwete. Je hii ni ajira au utumwa ?

Duh, yaani Chadema inawakosesha watu usingizi namna hii !​
 
Gm32
Ahsante kwa fikra na busara zako hakika wewe umekomaa kimawazo na fikra pia lkn pia ni lazima tuwaeleze Wanachama na wapenzi wa Cdm sio kila jambo litalokalofanywa na viongozi wa chama litakuwa na positive emotional kwa wananchi. Ingekuwa vyema na busara kama Viongozi wa Cdm wangeleta Terms of Agreement kwa wananchi wa Arusha kabla ya kukubali huo mwafaka coz wananchi walidai uchaguzi urudiwe na si mgawanyo wa madaraka.

Kwani ungrejewa hata huyo Naibu Meya angepatikana? Kwani Magamba si wengi wao na unaporejea uchaguzi huku walio madarakani ndio wanaoamuwa namna ya uchaguzi inasaidia nini? Au kuweko maandamano mengine? Heko Wana CHADEMA wa Arusha kufahamu demokrasia na majadiliano vinaenda pamoja wala sio demokrasia na ubabe!
 
Kama ni hivyo basi wa kwanza kuogopwa ni viongozi wa Cdm waliotulaghai na kutuingiza mkenge wa kwenye maandamano wakati walikuwa wanaweza kufikia mwafaka kwa kugawana madaraka tu.

Mwanzo mgumu na wengi wetu tunapoanza jambo tunakuwa na hamasa nyingi lakini kila muda unapoenda ndio tuapata uzoefu. Si unaona mwenyewe kauli na vitendo vinaanza kupowa sasa baada ya kuanza kujuwa hali halisi.
 
Ahsante lkn sitaacha kujutia maamuzi haya Cdm yasiyokuwa na maslahi kwa wana wa Arusha pengine kwa sababu hukuwepo laiti ungekuwepo Tulivyopambana na polisi.....

Hata hivyo mnaweza mkapambana tena kama kitendo hicho kiliwasaidia, kwanini uache kitu kinacholeta faida? Viongozi wenu wameshaona(ushujaa wa kupigana na polisi)hakiwaletei faida kwa kukufikirieni nyie lakini iwapo nyie mnaona vyenginevyo basi mko huru kuanzisha vita.
 
CUF inakufa kwa upuuzi huu huu wa mgawanyo wa madaraka na wezi wa mchana.Sasa CDM Arusha Mwigamba,Nassari,Lema Mnatueleza nini?Hatushabikii vurugu lakini maelfu ya watu wana uchungu na dhuluma na mauaji yaliyofanya na Polisi wa CCM hivyo maelezo ya kina na yenye mshiko tunayataka pale NMC haraka iwezekanavyo kabla hatujawaadabisha.

Hata siku moja CUF haiifi kwa kuingia makubaliano na CCM bali nahisi kama mwaka huu walifanya vizuri Bara kuliko kipindi chochote cha kuwepo kwake. Inabidi uelewe kuwa Watanzania wote wanaoipinga CCM sio wanafanya hivyo for the sake ya kupinga tu bali wanajuwa kipi wanachotaka kwa hivyo muafaka kama unaleta tija hauna ubaya!
 
Hii ndio shida ya kutumia makalio kufikiri badala ya ubongo, kule kigoma unajuwa ile Halmaashauri CHADEMA na CCM huwa wanaiongoza kwa style gani?

Nakubaliana nawe kabisa kuwa kuna tatizo la kutumia makalio katika kufikiri na ndio maana wenzenu mliwakimbizia huko kunakotumiwa makalio kwa vile fikira zenu na akili zenu ziko huko mnakokusema.
Unakataa nini iwapo kama wenzenu walipoingia muafaka mlisema wameolewa sasa kitendo ndio kilie kile unafikiri kitabadili maana. CHADEMA Arusha wameolewa na Magamba kwa mujibu wa msamiati wenu kwa neno muafaka.
 
[h=2]
icon1.png
Wavamizi ndani ya JF, ni wakati wa kuwatambua![/h]
Yuko huyu FaizaFoxy, tarehe 7/6/2011 ametuma posts 75 kuanzia saa sita usiku Jumanne hadi saa sita usiku Jumatano. Huu ni wastani wa post zaidi ya tatu kwa saa, assuming halali kabisa na hana muda wa kusoma posti za wengine, je hii yawezekana ? Kwa mtindo huo atakuwa amefikisha posti 75 x 365 = 27,375 na kumpita Mwanakijiji aliyejiunga na JF mwaka 2006 ! Mfano kidogo ni posti zake hizi;
  1. 6.16 pm
  2. 6.19 pm
  3. 6.21 pm
  4. 6.24 pm
  5. 6.25 pm
  6. 6.26 pm
  7. 6.29 pm
  8. 6.29 pm
  9. 6.31 pm
  10. 6.32 pm
Hizi ni posti kumi kwa robo saa ! Kwa ufupi ni kuwa katika masaa 24 aliweza tu kupumzika kwa masaa chini ya manne (kati ya saa kumi usiku na saa mbili asubuhi), je ni binadamu au mashine ! Hapumziki, halali, hali, haogi, haendi chooni - anayo kazi moja tu kuitetea serikali ya KiweteKikwete. Je hii ni ajira au utumwa ?

Duh, yaani Chadema inawakosesha watu usingizi namna hii !​

Unafikiri hili jamvi lilianzia kwa ajili ya kampeni za uchaguzi kama ulivyoingia wewe hapa?
Join Date : 18th October 2010
Posts : 1,413
Thanks172Thanked 412 Times in 224 Posts

Rep Power : 23
Na hii ndio maana huna mchango wowote hapa kwa hoja zako badala kuangalia nani kaingia lini na matusi. Kazi uliyoingilia imekwisha bora upunzike hadi Octoba ya 2015 uje tena kwa kazi ileile uliyoingilia hapo mwanzo.
 
Sitaisahau Jan, 5 nilipokoswa koswa na Risasi za moto, Mabomu ya machozi na Virungu vya FFU nilipokuwa kwenye Maandamano ya kupinga Uchaguzi batili wa Meya wa Arusha. Sitaisahau pia ile siku niliyoacha shughuli zangu zote na kwenda kwenye mazishi ya tulioamini ni mashujaa waliokufa wakitetea haki ya wananchi wa Arusha. Tuliimba nyimbo nyingi za kishujaa bila kujali manyunyu ya mvua yaliyokuwa yakitudondokea na kufuatia na jua kali likituchoma. Tulikusanyika kuanzia saa mbili asubui lkn viongozi

JF Imevamiwa na viwavi jeshi wanakula huku wanajisaidia, Thread kama hii isiyokuwa na kichwa wala miguu ni kupotezea watu muda, maana nimesoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho sikuona connection ya heading na kiichoandikwa zaidi ya Blah blah blah!.
 
kama mtu unaweza kufikiri vizuri nadhani hatuna budi kuwapongeza kama sio yale maandamani hata hizo kamati muhimu za fedha na elimu wasingepewa chadema. Hivi waendelee kubishana mpaka lini wakati huduma muhimu kwa jamii zimesimama kwa kuwa hakuna halmashauri. haya mabadiliko yasingekuja bila yuale maandamano madiwani wa chadema inabidi wapige kazi ili kukiimarisha chama na kuwaletea maendeleo wananchi ili 2015 madiwani wa Chadema wawe wengi na kuichukua hiyo halmashauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom