Kofia zaidi ya 2 za uongozi.

twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,793
Ndugu zangu baada ya Rais Kikwete kuteua ma-RC kumekuwepo mjadala wa kofia 2 za uongozi wakati kuna vijana wengi hawana kazi na wamemaliza vyuo vikuu.Hivi kwanini lawama hizi zielekezwe kwa viongozi wa serikali pekee wakati wapo hata wanasiasa wengine wamejilimkizia vyeo?.Nitachukua case study 1 tu ya MBOWE.Huyu ni 1.kiongozi wa familia yake na anayomajukum mengi tu ya kifamilia 2.mwenyekiti wa CDM 3.Mbunge wa jimbo la HAI 4.Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni 5.Mfanyabiashara mkubwa n.k.WANASIASA WA NAMNA HII WANAOKOSOA UTEUZI WA RC WAKATI HUOHUO NI MBUNGE WANATUKEJELI NA KUTUDHIHAKI WATANZANIA.MFANO WA KUTOPOKEA POSHO TULIUONA INGAWA BAADAYE TULIGUNDUA WANANCHI TULIPIGWA CHANGA LA MACHO.HAYA NA HILI TOA MFANO KWA KUBAKI NA KOFIA 1 YA UONGOZI NDO TUTAWAAMINI.
 
Hadi leo bado ni Mwenyekiti wa Chama aisee.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom