Kofia Kwa Katibu Mkuu wa Stand United (zamani KM YANGA)

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
73e09f0d-cf66-4d06-948d-5c70dbc79a34.jpg
 
Ukiona hujaelewa,fahamu haikuhusu
you said it.......huyu jamaa alikua katibu mkuu yanga na sasa stand united ila uyanga bado anao ukiangalia kofia ya kijani na njano hapo ofisini na hii ina tafsiri pana sana kisoka na hasa mustakabali wa stand yenyewe na tuna mifano mingi tu
 
Hata hujaeleweka mkuu ndio maana uzi hauchangiwi.
huyu jamaa alikua katibu mkuu yanga na sasa stand united ila uyanga bado anao ukiangalia kofia ya kijani na njano hapo ofisini na hii ina tafsiri pana sana kisoka na hasa mustakabali wa stand yenyewe na tuna mifano mingi tu
 
Mbona kofia ni ya Chama cha Mapinduzi? Kama sikosei naona kofia nyekundu pia....
 
you said it.......huyu jamaa alikua katibu mkuu yanga na sasa stand united ila uyanga bado anao ukiangalia kofia ya kijani na njano hapo ofisini na hii ina tafsiri pana sana kisoka na hasa mustakabali wa stand yenyewe na tuna mifano mingi tu
Mbona kuna kofia nyeupe na nyekundu pia !!!??? Au una colour blindness....
 
Back
Top Bottom