Kofi Annan, Luis Ocampo na Thabo Mbeki waombwe kusuluhisha vyama vya siasa Tanzania

Pointless mkuu, unazungumzia Mzee south wakati aliharibu uchaguz wa Kenya? Awali aliishukuru tume huru ya uchaguz ya nchin wakati uchaguzi huo ulitawaliwa na vibwanga vya kutosha! Kwann unataka kutuona sisi mazezeta? Hujaona watu wengine wa kuwaomba kuja kusimamia na kusuluhisha hii migongano inayotokea nchini?

Uzi wako ningeupa 5 km ungetaja jumuiya za umoja wa ulaya, na sio za kiafrika!
 
Wazo lako MKUU ni zuri, lakini sizonje alisema haelekezwi, hakosolewi wala hajaribiwi. Sasa hao washauri nani atawaleta? Pia shambulizi la Lissu ilitakiwa wachunguzi wa kimataifa, serikali ilikataa sembuse hilo la usuluhishi wa vyama vya siasa?

Jamaa alisema siasa ni 2020, mauaji ni kawaida, hapa kazi tu
"Aliselema alija"
 


Hakuna cha kusuhulisha hapo, isitoshe Tanzania siyo Kenya acheni kujidanganya!
Hivi mnaelewa hata maana ya foreign policy? Mnafikiri Wazungu hawajui kinachoendelea nchini mpaka muwaombe waingilie?
Unafikiri kazi ya foreign missions hapa TZ ni zipi hadi mpande ndege kuwafwata?
 
Hamna wanainchi tuamke kabisa habari hii ni mbaya sana kunahatari zaidi mbeleni naiona kwa nini mkulu hataki kusikia Na kuheshimu haki za watu za kuishi ni wakati muafaka kumshurutisha aheshimu haki za binadamu
 
..basi aongezwe Mama Graca Machel Mandela anazungumza Kiswahili ili kuwasaidia wasuluhishi wanaozungumza " ki-inglish."
...wasuluhishe nini sasa !? Daah...makarai mbona stress zenu zinawapeleka sana !?
 
Mnaijua hata hali mbaya lakini au ushabiki mandazi tu.

Si heri waende hata Kenya penye marais wawili.

No time for cowards.
 
Upuuzi mtupu, waache kusuluhisha ya KENYA waje hapa ambapo mikwaruzano iliyopo ni ya kawaida kwa nchi zote zenye vyama vingi??
 
Sikuwahi kutarajia kama Tanzania siku moja inaweza kuwa na Rais katili na wa ovyo kwa kiwango hiki.
.....aliye ondoka mlimnadi ni dhaifu, kakalia kucheka tuu. Nyie mtakuwa m'mechanganya dozi sasa side effects zinawapelekesha.
 
Sikuwahi kutarajia kama Tanzania siku moja inaweza kuwa na Rais katili na wa ovyo kwa kiwango hiki.
Kumbe wewe huwajui wasukuma? Amri ikitolewa iwe nzuri au mbaya inatekelezwa tu. Kama ulimchagua sasa unavuna ulichopanda, kumbuka pombe siyo chai.
 
Mungu wa Ibrahim . Isaka ,Yakobo tuokoe waja wako tunaangamizwa.
 
Sikuwahi kutarajia kama Tanzania siku moja inaweza kuwa na Rais katili na wa ovyo kwa kiwango hiki.
Kumbe wewe huwajui wasukuma? Amri ikitolewa iwe nzuri au mbaya inatekelezwa tu. Kama ulimchagua sasa unavuna ulichopanda, kumbuka pombe siyo chai.

Wengine tulimjua mapema hata kura hatukumpa.
 
Hakuna joto Lolote. TabzaTan iko tulivu kabisa
 
Tanzania hakuna upinzani makini kuna wasanii na wafanya fujo tu
Mwenyekiti na katibu walioandaa maandamano haramu walitoroka kwa kuvaa baibui na dera,wamewaacha vijana waliowatoa mikoani kuja kufanya vurugu wanasota polisi,kwa kushindwa kujua vichochoro vya Moscow wamedakwa kiulaini.
Tanzania ni shwari bavicha wanataka huruma tu
 
Wee sema rubbish tu..
Siku watakapokugeuka hawa makatili CCM na kujikuta upo hospitali wakihangaika kuitoa risasi uliyopigwa imenasa mkunduni sijui utamlilia nani sijui.
Tatizo woga kwani vita ikitokea wewe si utakuwa mhanga, sema bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…