Kofi Annan alipofika Tanzania, alizuru Mbeya umegundua nini hapo?

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
Kofi Annan alipofika Tanzania, alizuru Mbeya umegundua nini hapo?


attachment.php
 

Attachments

  • KOFF IANAN.jpg
    KOFF IANAN.jpg
    298.2 KB · Views: 527
Watanzania tuamke, nchi inawategemea, if you are not part of the solution, you are part of the problem!..
 
mm nilichogundua kuwa Kofi annan na Shangrai wamekuja tanzania kwa kuja kupata vikombe tu, hayo mengine ni kuzuga tu
 
Mi nimegundua wiring ilivyofanyika kizembe, tubelight inayokosekana hapo mbele ya jengo. Yes this is my loved BONGOLAND.
 
wameanza na kikombe cha dogo mbea ,bibi (tbr)(rombo)na sasa watamalizia kwa mtu mzima (lln)
 
Nimegundua kwamba ni mnyakyusa yeye lakini aliondoka mdogo kwa masomo ghana halafu uk
 
Mkuu unataka kusema ndiyo maana na Koffi Annan alivaa makombati kama makamanda wa CDM?

Hahahahahahaha Duh! Tina mimi hata sikuishtukia hii LOL! Ndiyo kusema anaifagilia CDM

:peace:
 
Back
Top Bottom