Mwanamuziki mkongwe wa Congo DRC , Koffi Olomide akiri kutofahamu ma-star maarufu wa tasnia ya muziki iwe mwanamuziki au msanii wa kizazi kipya Mkenya.
Koffi alizidi kuongea kwa staha a.k.a '' ki-diplomasia'' zaidi kama ilivyo jadi ya wa-Tanzania kuwa Wa-Kenya wamsamehe kwa kukosa ''uelewa'' wa wanamuziki /wasanii maarufu wa Kenya.
Koffi alitua jijini Nairobi kushiriki katika tamasha la Koroga linaloratibiwa na Capital FM ambapo wasanii maarufu kama Papa Wemba, Ali Kiba n.k wameshawahi kualikwa. Nchini Kenya na diaposra ya Ki-Kenya, Sauti Sol na H_art the Band ni makundi ya wasanii wenye wafuasi wengi katika mitandao ya kijamii.
Habari hii ina thibitisha kuwa muziki wa Kenya bado haujakubalika nje ya jamii ya Ki-Afrika Mashariki pamoja na wasanii wa Kenya kutumia lugha kubwa kama Kiswahili na Kiingereza.
Hivi karibuni kulikuwepo zogo kubwa nchini Kenya lililohusu wasanii wa Kenya katika mjadala wa kujiuliza kwa nini Diamond Platnumz hupewa mshiko wa zaidi ya Kshs. 5,000,000 (Ths.100,000,000) kwa kufanya concert Kenya lakini wasanii wa-Kenya hawafanikiwi kupewa donge nono kama wageni.
Sikiliza mahojiano na Koffi Olomide :
Congolese Musician Koffi Olomide in Kenya for Koroga Festival :
Source: NTV Kenya youtube.