Kodtec Speaker systems

Achana na huo ujinga tafuta music system ya uhakika.....SONY probably
Sony ni jamaa zangu ila kwa Kodtec hawafikii ule umeme mzee! Frequency za bass production za Sony ziko juu kuliko za Kodtec mzee!

Bass nzuri ni ya range ya 20-30Hz ikizidi 40Hz inachanganyika na mids inakuwa muffled bass! Sony range yake ni 45Hz while Kodtec yupo chini ya hio.
 
Yaani halafu lenyewe halitaki sauti ndogo linataka ulifungue hasaaaaa mamaeeeee

Kama una tumbo la kuhara kaa nalo MBALI utaharibu mazingira mapema kabisa
Hahahahah hio bass yake inatikisa utumbo kabisa.

Mi sikuhio nilipita kwa nje ya duka tu ila ile bass iliokuwa inamwagika ilikuwa sio masihara ikabidi niingie nikatafte kinachotoa huo mziki ni kitu gani maana huwa sikio langu lipo sensitive sana na vinu vya maana.

Halafu ogopa sehemu yenyewe ilikuwa ni kubwa yani kama hall hivi maana hilo duka lilikuwa ni showroom ya furnitures. Mziki ulikuwa umeenea kichizi😅
 
Hahahahah hio bass yake inatikisa utumbo kabisa.

Mi sikuhio nilipita kwa nje ya duka tu ila ile bass iliokuwa inamwagika ilikuwa sio masihara ikabidi niingie nikatafte kinachotoa huo mziki ni kitu gani maana huwa sikio langu lipo sensitive sana na vinu vya maana.

Halafu ogopa sehemu yenyewe ilikuwa ni kubwa yani kama hall hivi maana hilo duka lilikuwa ni showroom ya furnitures. Mziki ulikuwa umeenea kichizi
Hyu mchina itakuwa ni mchepuko wa akina jbl ama denon

Sio siri
 
Hyo 2812 ni watts 200

Niliyonayo ni 2913 ni watts 300


Yaani hapa mingoma iliyokuwa mibaya kwangu sasa hvi naipenda kupitia kodtech

Mibiti ya iyo laizer inasound vizuri kumbe
Hamna ngoma mbaya kwenye mziki wa ukweli😅 na sikuhio manyimbo hayo hayo ya laizer ndo walikuwa wanayapiga😅 ila bass inavyochambuka ilinivuta
 
Kwani HiVi Kati ya hio rising rs-7600 na kodtec kt 2913,
Je ipi ni Bora Kwa mziki mzito yaan deep bass?
Kodtec 2913 ina true music dynamics, bass yake ni exceptional na clarity yake basi ni full balaa😅 inagongea bass kifuani!
 
Natumia Sony DAV-DZ350, ina tatizo kwenye Bluetooth kwa muda mrefu kidogo sasa. Ni mara chache sana Bluetooth inakubali ku'connect (labda mara 1 kwa mwezi). Tatizo limeanza tu out of blue, haikuwahi kudondoka wala kupigwa shoti. Ukiwasha bluetooth inasoma vizuri kama inasubiri iwe connected, ila haionekani kwenye device yoyote kila uki'search.
Tatizo linaweza kuwa nini?
 
Halafu mtu akisikia hio bei anaweza akaleta dharau ujue!
Kituo kinachofuata mamaeeee
Screenshot_20220118-124528_UC%20Browser.jpg
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom