Kodole Cha Marekani Kwa Tanzania ni Kicheko Kwa Bernard Membe

Stayfar

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,066
2,214
Kinachotokea hivi sasa, kwa,Bernard membe kwake ni Kicheko hadi kwenye Gego.Hata Kama ni Membe ndiye aliyepigwa mkuki wa moyo,.Pia kwenye Waraka wa Pompeo ameinyooshea kidole serikali ya Magufuli,kwamba anachokifanya Makonda ni maelekezo toka kwenye utawala wa Magogoni.

Hii inampa wepesi Membe kwenye mbio zake za kuchuana na Magu ndani ya CCM,kwenye uchaguzi ujao.Waraka ule Lazima utaleta Mpasuko mkubwa kwa wakuu wa CCM,ambao wengi wao wataona Sasa nchi inaelekea kubaya,na kuna wasiwasi huenda mama wa The Hague Fatou bin Souda akafungua kinywa chake kuhusu sakata hili.

Ikifika hapo,huenda bwana Membe akapata uungwaji mkono mkubwa,na CCM kufuta kabisa Ule utamaduni wao wa mgombea wao Lazima amalize miaka 10 ya Uraisi.Tusubiri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insfikirisha
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ila tutamgaragaza vibaya mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotokea hivi sasa, kwa,Bernard membe kwake ni Kicheko hadi kwenye Gego.Hata Kama ni Membe ndiye aliyepigwa mkuki wa moyo,.Pia kwenye Waraka wa Pompeo ameinyooshea kidole serikali ya Magufuli,kwamba anachokifanya Makonda ni maelekezo toka kwenye utawala wa Magogoni.

Hii inampa wepesi Membe kwenye mbio zake za kuchuana na Magu ndani ya CCM,kwenye uchaguzi ujao.Waraka ule Lazima utaleta Mpasuko mkubwa kwa wakuu wa CCM,ambao wengi wao wataona Sasa nchi inaelekea kubaya,na kuna wasiwasi huenda mama wa The Hague Fatou bin Souda akafungua kinywa chake kuhusu sakata hili.

Ikifika hapo,huenda bwana Membe akapata uungwaji mkono mkubwa,na CCM kufuta kabisa Ule utamaduni wao wa mgombea wao Lazima amalize miaka 10 ya Uraisi.Tusubiri!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha vichekesho we mtu. Unaleta comedy humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom