Ndugu yangu, serikali haiwezi kuanzisha viwanda. Hata mimi sishauri serikalli kuanzisha viwanda. Pia sera ya ccm ni kuwa na uchumi ambao unaendeshwa na kumilikiwa na sekta binafsi.Uchumi wa nchi unaweza kuwa mzuri tu tukifanya mapinduzi ya viwanda. Madini na rasilimali nyingine zitaisha na tutabaki
Ni dhahiri hakuna nchi itakayo endelea bila uwepo wa viwanda (uzalishaji). Viwanda vingi vya serikali vilikufa kwa sababu zinazofahamika na kila mtu, ila ninachojiuliza, hakuna uwezekano wowote ule wa kuondoa vile vizingiti vinavyofanya viwanda hivi vife ili walau watu wapate ajira kwenye kiwanda angalau cha baiskeli tu?! mfano tuhakikishe takataka zinazotoka nje zinabamizwa kodi kubwa ili tusiue viwanda vya ndani, its that simple..