Kodi zilizomo kwenye bidhaa za petrol

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,226
157,419
Salama.
Ama baada ya salamu naomba nisaidie kujulishwa tozo, ushuru, kodi na michango yote inayotozwa kwenye bidhaa za mafuta ya petrol
 
Salama.
Ama baada ya salamu naomba nisaidie kujulishwa tozo, ushuru, kodi na michango yote inayotozwa kwenye bidhaa za mafuta ya petrol

Kama nakumbuka sawa composition ya bei ya mafuta (yaani vitu unavyolipia kwa kila lita ya mafuta unayonunua) inatia ndani vituvifuatavyo;

- bei yenyewe ya mafuta, kisha unaongezea
- Excise duty
- Kodi ya uchafuzi mazingira
- usafiri wa mafuta
- distribution fee (yaani kama depo)
- road toll
- road license (mpya)
- regulatory levy ya EWURA
- mgao wa mwenye kituo (retailer)
- mgao wa kampuni ya mafuta yenye nembo ya kituo (supplier)
- LPG levy (sijui kama ilipitishwa)

Na kwa ujumla, katika kila lita moja ya mafuta inayouzwa, mtu mwenye mgawo mkubwa kuliko wote ni serikali, ambapo inachukua zaidi ya 70%, wa pili mwenye kituo cha mafuta, na wa mwisho mwenye kampuni mama ya mafuta (kama TOTAL)

Kwa ujumla, biashara ya mafuta ni biashara ya serikali japo wanaohangaika ni mwenye kituo na supplier.
 
Kama nakumbuka sawa composition ya bei ya mafuta inatia ndani element zifuatazo;

- Excise duty
- Kodi ya uchafuzi mazingira
- road toll
- road license (mpya)
- regulatory levy ya EWURA
- mgao wa mwenye kituo
- mgao wa kampuni ya mafuto yenye nembo ya kituo
- LPG levy (sijui kama ilipitishwa)

Na kwa ujumla, katika kila lita moja ya mafuta inayouzwa, mtu mwenye mgawo mkubwa kuliko wote ni serikali, wa pili mwenye kituo cha mafuta, na wa mwisho mwenye kampuni mama ya mafuta (kama TOTAL)
Road license
 
Back
Top Bottom