KODI ZENU kazini

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
wasting tax payers money

hivi hawana shughuli za kufanya hawa au ndio strategy mpya za wizara ya mambo ya ndani?


bendi ya polisi ikiongoza maandamano kuahimisha kuanza kwa wiki ya wanyama duniani leo

ts7.jpg
 
??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Nafikiri ni sehemu ya kazi yao, wamegeuzwa kuwa viburudisho vya kina EL na mkuu wa kaya kwenye majukwaa.
 
now tumefikia kuadimisha week ya wanyama...zitakuja tungwa maadimisho hadi tuchoke..si kuna fweza kutoka kwa wananchi?bado zije fikia week ya kuku,week ya twigaz,temboz,ng'ombe etc....halafu zije sikukuuu za magonjwa mbali mbali eg mafua,kichwa etc na bado kuna ma t-shirt yatakua yanachapishwa na khangaz for the sare thing
 
Back
Top Bottom