MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,776
- 2,038
Hawa wamiliki wa redio wanamake money sana tena ktoka kwa wananchi.eg ukituma ujumbe ili usomwe hewan unakatwa sh.150,kwamaana hiyo unanunua huduma,ila cha kusikitisha redio presenter anaweza kusoma txt 5 tu anasema mda umemtupa mkono,Kwamaana nyingine amekuwa amewaibia wasikilizaji.JE WANALIPA KODI?