Kodi ya Jengo: Mbona nakatwa kiwango cha juu sana?

Kwanini leo washindwe kunikata, wanikate siku nyingine?
Mkuu hii ni Bongoland kila mtu na zake kichwani, wewe kalaga baho!
Kwahiyo unaamini hiki kikombe kimekukwepa? unanikumbusha ile stori ya bora mimi sijasema, hauki salama walaa....
 
Tatizo sio tozo kwanini tuambiwe kuwe Kodi ya majengo ya kawaida 12,000Tsh nikatwe 4500, hii Ni sawa na elfu 54000 kwa mwak huoni kama Ni kinyume na walichotangaza?
Ndo uzalendo huo Mkuu,
Waongeze na nyingine ili uzidi kua mzalendo.
 
IMG-20210821-WA0026.jpg
 
Hivi na mimi niliyelipia hiyo kodi ya jengo mwaka huu mwezi wa tano kiasi cha shilingi elfu 10, tena kwa hiyari yangu! utashangaa nakatwa tena kupitia huu utaratibu wao mpya!

Hii nchi ina ombwe kubwa sana la uongozi! Yaani kila sehemu ni vurugu tu.
 
After all, wamejuaje unaishi ghorofani? kuna jamaa anadai kakatwa kodi ya jengo kwenye biashara yake ya welding na mwingine kwenye kufyatua matofali pasipo kuwa na jengo lolote...
Nami ni fundi welding leo asubuhi nimenunua umeme wa 3500 nimepewa unit 3 tu
 
After all, wamejuaje unaishi ghorofani? kuna jamaa anadai kakatwa kodi ya jengo kwenye biashara yake ya welding na mwingine kwenye kufyatua matofali pasipo kuwa na jengo lolote...
Ulipataje umeme wa Tanesco, ulijazaje form ambayo haina ramani ya jengo? Kama anachomelea Mita waliifunga kwenye nini au juu ya nguzo, ramani ilikuwaje, na surveyor aliachoraje mchoro?
 
Back
Top Bottom