Kodi ya Gari kutoka UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kodi ya Gari kutoka UK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaka Mpendwa, Feb 26, 2011.

 1. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wadau,

  Inawezekana jambo kama hili lilikwisha jadiliwa,kumradhi.

  Naomba kupata uelewe juu ya utozwaji wa kodi za magari,nilijitahidi kupitapita website ya TRA, sikufanikiwa kupata majibu ya kuridhisha.

  1. Nina gari yangu ninayoitumia hapa abroad, ninahitaji kurudi nyumbani, je mchanganuo wa kodi utakuwaje ( Namaanisha je, wataendelea kuchukua VAT, ama kuna exemption gani (interms of FOB, CIF?) ama vinginevyo?

  2. Ni muda gani unahitajika ili gari iweze kufutiwa baadhi ya kodi nitakaileta nyumbani TZ?

  Asanteni
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Nadhani kutoka UK kusafirisha gari ni 2M. kodi ya gari TRA itaategema aina ya gari wao wanabei zao kulingana na CC na bei ya gari uliyonunulia huko.BIll of Lading nk haina tofouti na mtu anaegiza gari Japani.KUna kampuni moja ipo huko inahusika na usafirishaji wa magari ukisoma MIchuzi Blog leo utaiona hiyo kampuni wameweka picha zao.Exemption kama ww ni mfanyakazi wa serikali kuna form utajaza zinatoka TRA then utapeleka kwa mwajiri wako nk then utapata gari lako.Kama umekaa nje kwa muda wa mwaka na kama ww ni mfanyakazi wa serikali utalipia kidogo sana mradi uwe na vielelezo vyote vinavohitajika TRA pale kuna form utapewa hivo ww ukishapaki contena lako nenda bongo mara moja anza process mapema wkt contena likiwa njiwani ili kuepusha kulipa port waiting charges.
   
 3. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
Loading...