Kodi kwanza ndio ulalamike

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Wakuu heshima zenu,
Nimekuwa nikifatilia sehemu mbalimbali kuhusu watu kulalamika maisha magumu, serikali kubana hela, na mzunguko wa hela kuwa mdogo. Ila nilichojifunza wengi wa walalamikaji hawachangii hata senti kwenye pato la taifa kwa kulipa kodi. Nimegundua wengi ni misheni town halafu mtu analalamika. Hivi kweli serikali ihangaike kukusanya hicho hicho kidogo, halafu unataka kisitumike sehemu sahihi NEVER. Pigeni kazi halali na mjifunze kulipa kodi ndio muilalamikie serikali.

Ni mtazamo tu, msijenge chuki

Mpenda maendeleo
Engineer(Mbunge mtarajiwa)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom