NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
Mfanyakazi wa Tanzania anatozwa asilimia 18, ya mshahara wake. Kwa maneno mengine Tanzania ndio ya kwanza kwa kutoza kiwango kikubwa kwa mfanyakazi, wakati Rwanda ni ya mwisho kwa kutoza asilimia 5.
Wafanyakazi wananyonywa sana, hii ina maanisha kuwa wafanyakazi wanachangia kiasi kikubwa cha kodi kuliko wafanyabiashara. Lakini ni kwanini sisi Tanzania tuwe wa kwanza kwa kuwanyonya watendaji wetu??
Mfano; Kama unapokea 100,000/- kwa mwezi kodi yake ni 18,000 kwa mwaka mmoja ni 216,000/-! Mfanyabiashara gani analipa hiki kiwango??