KODI KUBWA, Kikwazo kigumu kwa Wafanyakazi Tanzania

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
830
91
Mfanyakazi wa Tanzania anatozwa asilimia 18, ya mshahara wake. Kwa maneno mengine Tanzania ndio ya kwanza kwa kutoza kiwango kikubwa kwa mfanyakazi, wakati Rwanda ni ya mwisho kwa kutoza asilimia 5.

Wafanyakazi wananyonywa sana, hii ina maanisha kuwa wafanyakazi wanachangia kiasi kikubwa cha kodi kuliko wafanyabiashara. Lakini ni kwanini sisi Tanzania tuwe wa kwanza kwa kuwanyonya watendaji wetu??

Mfano; Kama unapokea 100,000/- kwa mwezi kodi yake ni 18,000 kwa mwaka mmoja ni 216,000/-! Mfanyabiashara gani analipa hiki kiwango??
 
Mkuu kodi tunayokatwa hadi roho inauma ndo maana tunakuwa maskini balaaa
 
Whatz the solution? Tumuombe Zitto aandae hoja binafsi ya kupunguza tozo la kodi ya wafanyakazi!
Munaonaje wadau? Hahahha, najua yapo mabogas yataanzisha vurugu following this small sms!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nkuu sinde, mapendekezo ya kodi hupitishwa na bunge. Bunge letu linaloongozwa na CCM ambao pia wanawakilisha wananchi walo wengi ndio wangepaswa kuwa wa kwanza kuisimamia serikali katika mambo nyeti kama haya. Sina shaka kuwa ww ni mnazi mkubwa wa chama chako ambacho kila kukicha unakipongeza humu jf,wakati wabunge wake wamejipitishia mishahara mikubwa isitokatwa hata senti moja lkn wakilalamika haitoshi na wanataka kujiongezea
 
Wakati Fulani niliona nifanye kazi zaidi ili kupunguza work load iliokuwepo, kwa miezi kama 4 nlifanya kazi masaa 16 hadi 18. Lkn kwa utaratibu wa mwajiri alikuwa anajumlisha allowance zote na mshahara kama inavodai sheria PAYE. Nliikuta nikikatwa kati y sh lak 3 na laki 4 mwezi wakati nikichek kodi yangu inavotumika roho inauma sana na wala stamani kufanya kazi kwa stile ile
 
Kuna Makampuni na Mashirika mpaka BONUS wanakata kodi.
 
Mkuu kuna Makampuni na Mashirika mpaka OVERTIME wanakata Kodi. Huku si kutafuta Umaarufu Serikalini ili waonekane walipa Kodi Bora.

Bora leo mumeliona hilo swala la kodi kwa mfanyakazi wa tanzania, hii ngoma haichezeki tutaishia kuwa maskini tu kwa kuendelea kuwa na serikali kama hii ya jk isiyojuA hata vyanzo vingine vya mapato tofauti na kodi.
 
Rais,mawaziri na wabunge hawakatwi kodi kwenye mishahara yao ndio maana hawana uchungu na wafanyakazi wanaokatwa kodi hadi asilimia 30.Nchi hii wafanyakazi ni daraja la chini na serikali inawaona hawana impact yeyote katika nchi.
 
Mm nilisha acha kufanya kazi,nategeshea mwisho wa mwezi kuchukua pesa ya madafu kama anavyoziita Rukuvi.
 
Back
Top Bottom