James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Wadau habar
Nataka kujua unaponunua pikipiki i mean be forward,hivi inapofika bandarin ushuru wake unakuwa vipi?maana nimechek tra website kwenye calculator yao haijielezi kuhusu pikipiki,je kodi. Yake huwa vipi?thanks