shelumwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 516
- 189
Mimi nimepata zawadi ya gari kutoka kampuni fulani hivi, sasa kama mjuavyo kodi zetu pale bandarini je wanaweza kunielewa kweli na kunipunguzia kodi angalau na mimi nitese na kandimga kangu mjini hapa.
Mwenye kujua naomba ushauri maana muda wa kulisafirisha unakaribia kuisha.
Mwenye kujua naomba ushauri maana muda wa kulisafirisha unakaribia kuisha.