Kocha wa yanga na katibu wa timu waondolewa usiku huu!

Kufa wewe kwa sababu huna faida nchi hii na kwa familia yako
Yanga ife kabisa!!timu ya mafisadi,inachangia kumdidimiza mtanzania masikini!!kufa yanga kufa,na usipate pa kupumzika,timu ya ccm hiyooooo.
 
Manji hawezi kuongoza yanga....ambitions zake ni kuifanya yanga iwe chaka la kupitishia madudu yake yanayofanywa na shemeji yake bobby anayejifanya ceo wa nexus consulting agency.....genge la wauza unga mwanzo mwisho...
 
[h=3]OFFICIAL: YANGA YAMTIMUA KOCHA TOM SAINTFIET [/h]
Wote wametimuliwa Yanga
Fukuza fukuza ya klabu ya Yanga iliyoanza leo mchana baada ya mkutano wa wajumbe wa kamati ya utendaji uliofanyika leo katika makao makuu ya klabu imeendelea imemkumbuka kocha mkuu wa klabu hiyo Mbelgiji Tom Saintfiet.

Taarifa za uhakika kutoka kwa makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Clement Sanga ni kwamba uongozi wa timu hiyo umefikia maamuzi ya kumtimua kazi kocha huyo aliyeajiriwa miezi mitatu iliyopita kutokana na kutofautiana sera za namna ya kuiendesha klabu na uongozi wa juu wa mabingwa hao wa Afrika mashariki na kati.

Mchana leo kamati ya utendaji ilisimamisha ajira za viongozi waajiriwa wote wa klabu hiyo akiwemo katibu mkuu Celestine Mwesigwa na msemaji Luis Sendeu huku ikitoa onyo kwa kocha Saintfiet kwa tabia yake ya kuongea na waandishi wa habari bila mpangilio wa klabu. Lakini baada ya taarifa hizo kutoka usiku wa leo kocha huyo akaonekana akiongea kwenye television mojawapo nchini akizungumzia mambo mbalimbali kuihusu Yanga.

Kwa mujibu wa Sanga anasema kwamba sakata lote la jinsi kocha huyo alivyopoteza kazi yake litatolewa ufafanuzi hapo kesho.

Wakati huo huo aliyekuwa katibu mkuu wa Yanga kabla ya Mwesigwa, Lawrence Mwalusako amepewa jukumu la kukaimu nafasi hiyo ya ukatibu mkuu wa Yanga kwa muda, wakati mchezaji wa zamani wa klabu hiyo Seikolojo Chambua amekabidhiwa majukumu ya kuwa meneja wa timu hiyo akichukua nafasi ya Hafidh Salehe ambaye nae aliondolewa leo mchana.

Nafasi ya usemaji wa Yanga mpaka sasa imekuwa kitendawili, tetesi zinasema kuwa mtangazaji wa Clouds FM NA Clouds TV Abdul Mohamed na Mwanahabari Mahmoud Zubeiry mmojawapo anaweza kula shavu la kumrithi Sendeu.
 
Naona Binti Zubeiry amejitahidi kuupamba uongozi wa Manji anakaribia kula shavu, kweli mgaagaa na upwa hali wali mkavu.
 
OFFICIAL: YANGA YAMTIMUA KOCHA TOM SAINTFIET

clouds hanachake maana wanabifu nao...
 
Nawahurumia wale kandambili walioacha kazi zao kwenda pale kipawa kumpokea mbuyu twite, nina wasiwasi waliongopewa huyo ndiye mwanzilishi wa 'twiter' ndicho kinamgharimu Sendeu!!!

Sidhani kama kiongozi wa klabu hiki anafaa, manake inaonekana akisha tumia fedha nyingi na ushindi ni lazima. Kwa maneno mengine yuko tayari kununua mechi, mbuyu twite anajua hili ndiyo maana anatoa maboko, hakabi kisawasawa!!! vizee vya jangwani vyenye presha tutavimalizia jamani.

Warudishieni klabu wazee!!!!!
 
Kama YM aliweza kuwalipia ada za kadi wanachama wote waliokuwa na madeni ili waweze kuingia katika mkutano na kumng'oa Madega, atashindwa vp kumfukuza kocha anayemlipa yeye mwenyewe kwa hela ambayo Yanga hawajui inatoka wapi? Hapo ni trailer, mtumishi yeyote wa Yanga ambaye ajira yake si ya kuchaguliwa (ikiwa pamoja na wachezaji), akae mkao wa kutimuliwa muda wowote atakapopenda YM.
 
haya mambo naona yahoo , Anselm na Balantanda hawaliongelei sijui wako bize na gemu ya leo mazoezini..:A S-omg::A S-omg::A S-coffee:
Hivi mlifanyaje John Stewart Hall baada ya Kagame?......

Binafsi naunga mkono uamuzi wa kuifumua sekretarieti yote pamoja na kumtimua kocha....Na ingekuwa uwezo wangu ningemuacha Fred Felix Kataraia Minziro Majeshi Baba Issaya aendelee kuwa Kocha mkuu wa Yanga....

Hao akina SAINTFEIT na MILOVAN hawana jipya........Ni makanjanja tu..........Sam Timbe na Minziro ni bora kuliko hata hao akina PAPIC, MILOVAN na SAINTFEIT........Bora hata JOHN STEWART HALL.....
 
Naona Binti Zubeiry amejitahidi kuupamba uongozi wa Manji anakaribia kula shavu, kweli mgaagaa na upwa hali wali mkavu.

Kiongozi hizo sumu za hao ma'blogger "Makanjanja" kuna siku zitakuelemea usipone kwa maziwa ya aina yeyote ile, Yanga is a tem of proffesionalism bwana...
 
haya mambo naona yahoo , Anselm na Balantanda hawaliongelei sijui wako bize na gemu ya leo mazoezini..:A S-omg::A S-omg::A S-coffee:

Ndetichia ulitaka tuongee nini cha ziada, hiyo ndo Yanga kama wewe na Uncle Tom wako mlikuwa hamuielewi, pale Yanga ukishindwa ku'deliver unakaa pembeni imediately kuwapisha wengine pale hakuna kufumbiana macho anzia kwa Viongozi wa kuchaguliwa,Viongozi wa kuajiriwa,wachezaji mpaka wabeba mipira, you are not performing OUT kama ilivyo serikali ya Marekani vile, waulize akina Nchunga,Mwape na sasa Tom na sekretariet nzima, habari za kuleanaX2 kama mnavyomlea Sunzu na ugarasa wake pale kwenu au pamba za masikio mlizoweka zinazowafanya msione madudu ya uongozi wenu jangwani hatuna hizo, subirini mpaka mtakapo*i*a ma**le ya mk***ni na hao akina Rage wenu najua ndo mtashtuka.
 
habari za kuleanaX2 kama mnavyomlea Sunzu na ugarasa wake pale kwenu au pamba za masikio mlizoweka zinazowafanya msione madudu ya uongozi wenu jangwani hatuna hizo.

Hapo kwenye bold,Kawaulize Ruvu shooting wakwambie kama ni garasa au la, Mechi moja goli moja, Bahanuzi mechi mbili hakuna goli, Kiiza mechi tatu hakuna goli, hao Bahanuzi na Kiiza wanatofauti gani na Mwape na Asamoah au ndo Mwape na Asamoah wa msimu huu?
 
hapo kwenye bold,kawaulize ruvu shooting wakwambie kama ni garasa au la, mechi moja goli moja, bahanuzi mechi mbili hakuna goli, kiiza mechi tatu hakuna goli, hao bahanuzi na kiiza wanatofauti gani na mwape na asamoah au ndo mwape na asamoah wa msimu huu?

unaongea na kujamba acha izo bhana harufu
 
Back
Top Bottom