Kocha wa Taifa Stars Kuisaliti Burundi?

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,566
1,516
Hivi karibuni Msemaji wa Serikali ya Tanzania alikaririwa kuwa kufuatia kukamatwa kwa ndege ya Tanzania kesi itakapomalizika, Watanzania (Mawakili) wote walioshiriki kutetea upande wa mkulima anaelidai Taifa, Kesi Ya msingi itakapo malizika watafunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
Sasa tukirudi kwenye Mada Ndailagije ambae ni Raia wa Burundi weekend hii atakiongoza kikosi kikosi cha Taifa stars dhidi ya Taifa lake
Je akifanikiwa kuwafurumisha nnje ya mashindano Taifa lake, Watamfungulia Mashtaka ya uhaini/uhujumu wa michezo tukitumia Reference ya Tanzania Case Study ya Msemaji Mkuu wa Serikali
Cardiovascular
@Basias
soka255
Viatu vya Samaki
@Joahana
 
FIFa kwa kiasi kikubwa haitaruhusu kuingiliwa katika masuala ya soka.

Kuna kanuni na taratibu zake katika masuala ya soka...!!!

Siasa zisitawale sehemu kubwa ya Ubongo Wako,Utashindwa kuchakata na kuchanganua mambo lukuki/Mijadala.

Sasa Wafanya nimkumbuke Yesu wa Nazareth,Yesu Mwana WaYosefu Aliulizwa na Wanafunzi wake Kumi na Wawili kwanini kila mara Wafundisha kwa Mifano..??

Pasipo Mifano & Mafumbo & Tamthali za Semi hakuweza kunena na Makutano:::

Jorge Sampaoli Moya Muarengtina Aliwahi kutwaa Ubingwa wa Copa America akiwa na timu ya Taifa ya chile (Energetic &High pressing Philosophy) Dhidi ya Taifa lake la Argentina hatua ya Fainali Mwaka 2015.

Mwaka 2017 akachaguliwa kuwa kocha kiongozi wa Timu ya Taifa lake Argentina.

Haya Nambie Umeona nini Ewe Mtanganyika/Znzbr..!!
 
Swali ni jamaa aliitaka ile nafasi akanyimwa kwa kuonekana hana maana. Kama ni ndiyo tunsmtoa nje ya hapo tuvumiliane tu
 
FIFa kwa kiasi kikubwa haitaruhusu kuingiliwa katika masuala ya soka.

Kuna kanuni na taratibu zake katika masuala ya soka...!!!

Siasa zisitawale sehemu kubwa ya Ubongo Wako,Utashindwa kuchakata na kuchanganua mambo lukuki/Mijadala.

Sasa Wafanya nimkumbuke Yesu wa Nazareth,Yesu Mwana WaYosefu Aliulizwa na Wanafunzi wake Kumi na Wawili kwanini kila mara Wafundisha kwa Mifano..??

Pasipo Mifano & Mafumbo & Tamthali za Semi hakuweza kunena na Makutano:::

Jorge Sampaoli Moya Muarengtina Aliwahi kutwaa Ubingwa wa Copa America akiwa na timu ya Taifa ya chile (Energetic &High pressing Philosophy) Dhidi ya Taifa lake la Argentina hatua ya Fainali Mwaka 2015.

Mwaka 2017 akachaguliwa kuwa kocha kiongozi wa Timu ya Taifa lake Argentina.

Haya Nambie Umeona nini Ewe Mtanganyika/Znzbr..!!
umetolea mifano kwa watu weupe, ngozi nyeusi ni tofauti kabisa na ngozi nyeupe. nitakupa mfano, kuna mtu mwanzoni mwa 2017 alisota jela sina hakika Kama ameshatoka au laa, huko nchini Burundi kwa kosa la kumpiga tobo mh Raisi, na kwenda kushinda. walikua wanacheza mpira pamoja na raisi. lakini pia miezi michache iliyopita zilisambaa habari na picha, zikimuonyesha msichana mmoja amempeleka chini Raisi wa Urusi ktk pambano la judo, raisi alimpongeza sana huyo msichana ingawa ilikua kitendo cha aibu kidogo. Haya kwa mifano hiyo miwili umegundua nini?
 
FIFa kwa kiasi kikubwa haitaruhusu kuingiliwa katika masuala ya soka.
Kuna kanuni na taratibu zake katika masuala ya soka...!!!
Siasa zisitawale sehemu kubwa ya Ubongo Wako,Utashindwa kuchakata na kuchanganua mambo lukuki/Mijadala.
Sasa Wafanya nimkumbuke Yesu wa Nazareth,Yesu Mwana WaYosefu Aliulizwa na Wanafunzi wake Kumi na Wawili kwanini kila mara Wafundisha kwa Mifano..??
Pasipo Mifano & Mafumbo & Tamthali za Semi hakuweza kunena na Makutano:::
Jorge Sampaoli Moya Muarengtina Aliwahi kutwaa Ubingwa wa Copa America akiwa na timu ya Taifa ya chile (Energetic &High pressing Philosophy) Dhidi ya Taifa lake la Argentina hatua ya Fainali Mwaka 2015.
Mwaka 2017 akachaguliwa kuwa kocha kiongozi wa Timu ya Taifa lake Argentina.
Haya Nambie Umeona nini Ewe Mtanganyika/Znzbr..!!
hiyo pressing ni style yake aliimpact au ndio style nchi iliyokutana na kizazi cha dhahabu?
 
Back
Top Bottom