KOCHA WA SAMPODORIA APEWA AC MILAN ASEE TUONE HAYO MAAJABU MSIMU UJAO

Ac milan wamefanya jambo la maana kumpa timu huyo kocha ni kocha mzuri na mzoefu na ameweza kufanya vizuri kwenye timu yenye bajeti ndogo sasa hivi wamemrudisha kwenye uongozi Maldin na Boban walikuwa wanafanya makosa makosa kwa kuwapa timu makocha wasio na uzoefu
 
Back
Top Bottom