Kocha wa Rais Samia ni Kikwete, Mabeyo, Chiligati au mwenyewe?

Lukuvi kaondolewa kwenye nafsi ya Uspika. Mwenyekiti wa chama katoa kauli ninamsogeza Ikulu. Anakwenda kumpoteza kwenye utendaji wake wa kazi,
Lukuvu utendaji wake wa kuaminika amekuwa tishio kwa Mwenyekiti
 
Hii idea Samia ameipata kwa Kikwete aliyeanzisha style ya "waziri asie na wizara maalum" na kituo cha kazi cha huyu waziri kikawa ikulu. Wakina Kabudi nao jukumu lao according to Samia ni kwenda kuwafundisha mawaziri vipi wafanye kazi zao, hawa nao kwa undani ni sawa na yule "waziri asiekuwa na wizara maalum".

Samia ameamua kuchukua hii style kwa interest zake binafsi ili ayafikie malengo yake aliyojiwekea kuelekea 2025.

Hapo anachofanya ni kuwafunga "speed governor" kina Lukuvi no doubt, anataka ajimilikishe haki zote za kuwa mgombea pekee mwenye nguvu kuelekea 2025 ndani ya CCM. Hii habari yake kudai anawasogeza karibu kina Kabudi ili wawe waangalizi wa mawaziri wateule inamnufaisha yeye binafsi;

- Kwanza: ni rahisi kuwafanyia monitoring hao jamaa wakiwa ikulu (kufuatilia nyendo zao day to day). Hapa kina Kabudi kama bado wana lengo lazima wajipange upya.

- Pili: majukumu waliyopewa hayako kisheria ni rahisi sana kwao kuja kutemwa mbele ya safari kimya kimya mpango wa Samia kuelekea 2025 ukishakamilika, au ukielekea kukamilika.

- Tatu: amemuondoa Lukuvi kwenye kinyan'ganyiro cha uspika automatically (udikteta) ili isijekutokea bahati mbaya akaupata huo uspika kwa nguvu zake za kuwashawishi wabunge, halafu aje kufanya yale aliyofanya Ndugai then ageuke "threat" kwa Samia.

Hizo sababu hapo juu naamini ndio chanzo cha Samia kuwapeleka hao jamaa ikulu, hasa nikikumbuka ni yeye mwenyewe aliyesema wale wanaoonesha dalili za kuutaka urais atawaondoa barazani ili wakajipange mapema, matokeo yake anaogopa wasijipange, kumbe hakuwa anamaanisha alichoongea.
Wapiga kura wengi wanatia shaka. Kikubwa wale wasio na uelewa sana wanaweza kutia ubaguzi wa jinsia, eneo na hali ngumu. Wasomi hawajaeleweka sana.
Wapinzani nao watarusha mishale yao na vyote hivi viwe tahadhari na tusahau kwanza uteuzi.
 
Kwa speech ya Leo hii tayari Mama ameshawatoa hawa jamaa kwenye kinyang'anyiro cha uspika automatically?

Mama ujue anakocha mzuri 2025 nimeota fomu itachapishwa Moja tu

Kwa hiyo ameifuta ile kauli yake rasmi "nitawaondoa ili wakajipange huko nje tukutane 2025".

JPM alimuona Lukuvi kuwa tishio pia.

Alipomwambia hadharani usiwe na mawazo ya urais 2025.

Umri wako unafaa kupumzika... Mama naona anatembea na code pia kiukweli Lukuvi ndio mtu anatishia hawa vijana kwa maana ya integrity and being responsible pasi maigizo....hata kama hatujui yaliyo nyuma ya pazia yake.

Mbona tayari washauri wake wanajulikana na ni tofauti na list yako

Wahauri wakuu wa Mama
1. Balozi Sefue
2. Kinana
3. IGP Mwema
4. Judge Othman
5. Raisi Mwinyi
6. Makamu wa Raisi wa Tanzania
7. Mama Makinda

Mshauri wa kimataifa ni Tony Blair
 
Mbona tayari washauri wake wanajulikana na ni tofauti na list yako

Wahauri wakuu wa Mama
1. Balozi Sefue
2. Kinana
3. IGP Mwema
4. Judge Othman
5. Raisi Mwinyi
6. Makamu wa Raisi wa Tanzania
7. Mama Makinda

Mshauri wa kimataifa ni Tony Blair

Ongezea Lukuvi na yule jamaa aliyetuletea dawa za corona tokea Madagascar. Jina lake limenitoka.
 
Kwa speech ya Leo hii tayari Mama ameshawatoa hawa jamaa kwenye kinyang'anyiro cha uspika automatically?

Mama ujue anakocha mzuri 2025 nimeota fomu itachapishwa Moja tu

Kwa hiyo ameifuta ile kauli yake rasmi "nitawaondoa ili wakajipange huko nje tukutane 2025".

JPM alimuona Lukuvi kuwa tishio pia.

Alipomwambia hadharani usiwe na mawazo ya urais 2025.

Umri wako unafaa kupumzika... Mama naona anatembea na code pia kiukweli Lukuvi ndio mtu anatishia hawa vijana kwa maana ya integrity and being responsible pasi maigizo....hata kama hatujui yaliyo nyuma ya pazia yake.
Raisi kashasema washauri wake ni

Sefue, Kinana na Chande
 
Kocha wa mama ni hekima, utu, uungwana, ustaarabu, nidhamu na maadili ya uongozi, huruma na msingi nzuri wa malezi aliojengewa na Wazazi wake. Hiyo ndio orodha ya makocha wa mama.
 
Back
Top Bottom