Kocha wa Chelsea ashtakiwa kwa Utovu wa Nidhamu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
UINGEREZA: KOCHA WA CHELSEA ASHTAKIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU

Chama cha Soka Nchini humo (FA) kimemshtaki Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel kwa utovu wa nidhamu kwa maoni yake kuhusu mwamuzi Anthony Taylor baada ya sare ya Chelsea dhidi ya Tottenham katika mechi za #
EPL, Agosti 14, 2022

Tuchel anadaiwa kutofurahishwa na mwamuzi, ambapo baada ya Mechi hiyo alinukuliwa akisema: "Labda ingekuwa bora" ikiwa Taylor hatakuwa mwamuzi wa mechi itakayoihusha Chelsea tena", maoni yaliyotafsiriwa kama kuhoji uadilifu wa mwamuzi huyo

Hata hivyo Kocha huyo ana hadi Agosti 25, 2022 kutoa majibu kuhusiana na mashtaka hayo

…………………

Thomas Tuchel was charged on Monday by the Football Association (FA) with improper conduct for his comments about referee Anthony Taylor after Chelsea's Premier League draw with Tottenham.

The Chelsea boss was unhappy with decisions before both Tottenham goals on August 14 and said after the match that "maybe it would be better" if Taylor did not referee the Blues again.

Tuchel has already been hit with a £35,000 (41,000 euro) fine and a suspended one-match ban for his touchline confrontations with Spurs boss Antonio Conte at Stamford Bridge.

The FA has now added the charge of improper conduct because his comments in the post-match press conference "imply bias and/or question the integrity of the match referee, and/or bring the game into disrepute," it said in a statement.

"Thomas Tuchel has until Thursday, August 25, 2022 to provide a response."

Tuchel was incensed as Tottenham battled back for a draw with Harry Kane's added-time header.

Source: Citizen Digital
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom