Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kocha Syllersaid Mziray Hatunae tena

Discussion in 'Sports' started by Endeleaaa, Oct 30, 2010.

 1. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Imeripotiwa amefariki huko Dar es salaam Hospitali ya Agakhan

  RIP Kocha Mzirai

  [​IMG]
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Super coach is confirmed NO MORE R.I.P
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,919
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  RIP Super Coach!
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mziray, msomi wa fani ya Elimu ya Viungo (PE), aliyewahi kuwa Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alijiunga na Simba hivi karibuni kuimarisha benchi la ufundi la timu hiyo.
  Kutokana na kuugua, Mziray alishindwa kushiriki maandalizi ya kuelekea mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga iliyochezwa Oktoba 16 ambayo Simba ilifungwa bao 1-0.
  Kocha huyo aliyewahi kuzinoa timu mbalimbali zikiwemo za Simba, Yanga na Sigara, ndiye kocha wa mwisho kuibebesha Bara ubingwa wa Kombe la Chalenji mwaka 1994.
  Bara ilitwaa ubingwa mwaka huo ukiwa wa pili katika historia ya michuano hiyo tangu mwaka 1973 ilipoutwaa kwa jina hilo kutoka Gossage Cup. Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1974.
  Utakumbukwa kwa mengi hasa la la kuiwezesha taifa stars kushinda kombe la challenge, Once again R.I.P Super Coach
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo sasa amekufa rasmi??
   
 7. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Kwa habari za haraka haraka tu, Kocha na mhadhiri wa michezo UDSM ndo kasharudisha namba kwa mhukumu wa haki! Bwana ametoa na sasa ametwaa, jina lake libarikiwe! Tujiulize sie tulIobaki, WHO IS NEXT???????
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ?????????????????????????
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi habari za kifo cha super coach zimedhibitishwa??
   
 10. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamaa wanapenda kumuua huyu jamaa ilhali bado hajafa.
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Unataka nani akuthibitishie ndugu yangu?? Habari ndio hiyo...
   
 12. P

  PGW Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Nov 19, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  RIP Mziray
   
 13. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Inallilah wainailahi rajiuun hakika sisi ni wa MwenyeziMungu na kwake tutarejea.... nawatakia subra ndugu jamaa na marafiki na watanzania wote kwa ujumla.
   
 14. T

  The King JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP Mziray. Poleni sana wafiwa kwa msiba huu mkubwa kwenu.
   
 15. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Siamini kama amefariki hebu tupeni news zenye uhakika jamani
   
 16. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RIP super coach, hope this time is true.
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  dah! mziray??? alale pema peponi
   
 18. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  Tutakukumbuka kutokana na mchango wako mkubwa kwa taifa hili
   
 19. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Tutakukumbuka kwa mchango mkubwa kwa taifa.Sijui mchango gani labda kuwasamabazia dada zetu virus
   
 20. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  wanasimba umetuacha pabaya
   
Loading...