Kocha Ranieri atimuliwa Fulham

Hahahahaa, kazi walikua nayo jana. Ila yanga wanafki sana, siku hizi kuna kikundi kinakaaga ule upande wao wa kusini pale taifa wameibuka na style ya kuja na bendera ya Congo kuonesha support yao kwa Vita

the Legend☆
Hahahahaaa! Let them be!Watabadili ushabiki hadi watabadili na makabila yao.They are of the calibers! The highest class of hypocrites!Judas!
 
hawampendi balaa. Na huyo kagere anavyojua kuwakera sasa, mara ateteme, mara atafute mpira nyavuni, mara apepee kama kipepeo. Hahahaa

the Legend☆
Jamaa wanapata masumbuko sana safari hii.Ila ile mechi tuliyopiga nao taifa Ime wasukumasukuma sana.Naona malumbano yamefifia sasa.Halafu hawana shukrani hawa!
 
Yanga ni timu? Timu gani ya kupitisha bakuli kuomba omba mpaka nauli, achilia mbali mishahara

the Legend☆
Hiyo ndo maana kamili ya timu ya wananchi, hao wanaoichangia ni wananchi wenye mapenzi mema na timu yao na ndio maana timu inapachika tu magoli na mpaka sasa ndo inayoongoza ligi
 
Umesema vyema kwamba 'mpaka sasa' bado mnaongoza ligi, ikimaanisha unajua fika ni suala tu la muda kabla ya kutoka hapo. Kingine lazima mkubali huo mfumo wa uendeshaji mnaoendelea nao sahivi hautawafkisha popote, na mtasubiri sana kuja kupata tena mafanikio. Simba sahivi inaendeshwa kisasa, kama ilivyo kwa klabu nyingi kubwa duniani, na mfumo unaojengwa ni endelevu na ambao unatuhakikishia mafanikio ya mda mrefu. Jikubalini kua mna hali mbasha, kisha jaribuni kubadilisha mfumo mzima wa uendeshaji

Mpaka sasa yanga ni mabingwa mara 27 na mara zote hizo huo ubingwa waliupata wakiwa katika huo mfumo wa sasa
 
kutokana na fitna za soka la bongo hiyo haishangazi. ila malengo ya Simba mpya sio tuu kupata mafanikio ya ndani, bali ni pamoja na kua ni moja ya miamba ya soka barani Afrika. Yes we can

Kwahyo unataka kusema yanga kuwa bingwa mara 27 ni kutokana na fitna za bongo? Nyie ni wahapa hapa ndani tu mkitoka ni aibu kubwa mnapata
 
Simba kua on the verge of reaching the QF (last 8) of the biggest club competition in Africa ni aibu? You can't be serious mkuu

the Legend☆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom