Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,523
- 24,010
Afrika imekuwa ikitoa wachezaj wazuri wenye sifa kubwa toka miaka ya akina asprilla,okocha,etoo,t.henry,drogba n.k
Najiuliza katika miaka yote Hii ni kocha gani mwafrika kabisa ambaye amewah fanya vyema Kwenye mashindano kama kombe la dunia au mabara. Alikuwa na team gani iwe ya afrika, ulaya au marekani.
Naomba nisaidiwe hilo tafadhali