Kocha Juma Mwambusi umeonyesha 'Upuuzi' Usiovumilika na uliovuka Kiwango kumbe ndiyo maana Yanga SC wanakudharau mno

Umenikubali Generalist au bado Ndugu?
Baada ya Dube kutumbukiza Msumari wa Moto tu nikakukumbuka kaka.
Lakini ni nini kilikufanya Uamini vile?
Je kuna usaliti kwenye timu?
Au ni Kiwango tu kidogo wanabebwa na Jina?
Au kuna mkono "wetu" kwenye haya matokeo?
 
Baada ya Dube kutumbukiza Msumari wa Moto tu nikakukumbuka kaka.
Lakini ni nini kilikufanya Uamini vile?
Je kuna usaliti kwenye timu?
Au ni Kiwango tu kidogo wanabebwa na Jina?
Au kuna mkono "wetu" kwenye haya matokeo?
Aliyekudanganya kuwa Yanga SC nao hawachezi ( hawazichezi ) Mechi za Simba SC nani Ndugu?

Hukuona kile Kitendo cha Makusudi alichotufanyia Yule Mshika Kibendera tulipocheza na Gwambina juzi?

Ile Mechi Yanga SC waliicheza sana na isingekuwa Uwezo mkubwa wa Beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' kufunga Goli lile la Msimu ilikuwa ama tufungwe au hata tutoke sare lengo lao litimie.

Na wala nisikufiche Mechi ya jana Simba SC tumeicheza tena Kimkakati kabisa na hatukuanzia Jana bali hata Kuumia kwa 'Digidigi' wao wa Kikongo ni sehemu ya Mkakati na sasa tumeshamaliza Kazi na Wazungu wanasema Mission Accomplished.

Tukicheza na Kushinda Mechi zetu zote zilizobaki ili tuwe sawa kwa idadi nao ya Michezo ( Mechi ) Simba SC tutawaacha mbali kwa Alama ( Points ) Kumi ( 10 ) hivi unadhani kuna nini tena hapo?

Washindanie nafasi ya Pili tu na Azam!!!
 
Back
Top Bottom