Alikuwa na maana gani!??
Mkuu ukiumwa na Koboko usikimbie wala ku-move sababu circulation ya blood kadri inavyozidi ndiyo sumu inavyosambaa mwilini, so ukiumwa na ukatulia same place unaweza kufikisha walau 2 to 3 hours kabla hujafa.
Lakini jibu alilonipa Babu lilikuwa ni moja tu " Ni mwiko kuondoka eneo ambalo umeumwa na koboko" bila kutoa maelezo zaidi.