Koboko (black mamba) ana kiburi, jeuri na dharau sana ila nitamfundisha adabu

Piga naye selfie kabla ya kumuua
IMG_20190930_160003_0.jpeg
 
Ngoja sisi wenye akili na ufahamu wa lugha tumfundishe.

Different - hii ni adjective /kivumishi. Unaweza kusema i am different, it is different,he is different.

Difference - hii ni noun/nomino/jina. Unaweza sema. The difference is ... Our difference is,i like white and she likes black.au thats the big difference.

Differ - hii ni verb/kitenzi/kitendo- unaweza sema. I differ with you, we differ etc.

Ni ya kweli hayo siyo kwamba different ni adjective wakati difference ni noun?
 
You mkuu unaweza muua huyo fala kama una vitendea kazi vifuatavyo kama kweli umepanga battle nane

Tafuta helmet ngumu Sana yenye kioo

Tafuta zip pastiki za kufaa kwenye ugoko wanazovaa wachezapira

Vaa na soksi 20 hehehh

Vaa manguo mazito 15

Vaaa buti la jeshi ngozi ngumu

Vaaa glove nzito Sana

Halafu nenda kacheze nae segere heheheh
 
Kuna kamnyama flani kako kama paka huwa kanamwazibu sana koboko na koboko akisha mwona tu hako kamnyama ujanja huwa unamwisha hivi huwa kanatumia njia gani kumwenyesha koboko?
Honey Badger aka 'Nyegere'. Chakula chake asilia ni nyoka na asali. Angekuwa anafugika ingekuwa safi sana.
 
Back
Top Bottom