Koboko (black mamba) ana kiburi, jeuri na dharau sana ila nitamfundisha adabu

Zamani sana niliwahi kumkuta kwenye ka kichaka fulani hivi lakini nilikuwa cjajua kama ni yeye, nikaanza kumrushia mawe na fimbo yeye akawa anajirudisha nyuma na mi namfuata, ghafla nikastukia nanyakuliwa navutwa kwa nguvu kurudishwa nyuma, wakati bado nashanga shangaa nikatulizwa na vibao viwili matata sana, akili kuja kukaa sawa nikamsikia aliyenivuta anasema (mama mmoja hivi hata simjui) we mtoto mjinga sana, hivi KOBOKO ni kuchezea hivyo unadhani huyo ni kifutu eeh (KIFUTU ni yale manyoka manene ambayo ni nadra sana kukuuma, lakini likikuuma unaoza kwa haraka sana kuanzia pale ulipoumwa)

Kumbe lile dude wakati linarudi nyuma lilikuwa limeshakasirika, basi ile jioni tukasikia kwenye ka kichaka kalekale mbuzi 12,ngombe 2, kondoo 4 na mchungaji wao walikuwa wamepoteza maisha, basi yule mama aliyeniokoa pale kimiujiza akaja kusema nyumbani......nikajikuta nachezea kipigo kizito kutoka kwa mama, halafu baadae ndio akanipa darasa kuhusu hilo DUBWASHA......ndugu yangu wewe nakusihi tu ungeachana na huo ujinga unaotaka kujaribu kuufanya
siku yako ya kwenda kwa rrabana zilikuwa bado
 
Mkuu hili swala lili ishaje? Mrejesho pls.
Habari za muda wandugu,

Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.

Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.

SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.

ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
 
Huwa anafoka vipi?
 
Mkuu hebu njoo utupe mrejesho bana , maana mpaka leo bado nausubiri mrejesho kwa ham sana
 
Alizaliwa hapo na amekulia hapo na hana madhara kabisa na chakula kingi kwenye farm
Ni mpole sana na huwa anajianika tu juani asubuhi saa 4
Watu waliamua kumuua lakini nikawaambia tutapanda wote mahakamani
I love snakes ila sio koboko

Wewe tunafanana But koboko changamoto yake ni sumu ndani ya dakika 15 mpaka 20 umekufa tayari alafu ni nyoka mwehu sana
 
Back
Top Bottom