koboko hana tatizo kama hakuwahi bughudhiwa au jeruhiwa,na hatembei usiku..ila kwa chumvi hata cobra hakimbii
[/QUOTE
Hivi hakuna dawa ya kufanya famigesheni kuwahamisha hao wadudu?Vipi umeshamfundisha adabu Koboko huyo? Kama bado, mimi ninakushauri ufanye mojawapo ya mambo haya:
(a) Pulizia petroli eneo alipo; atakimbia na kabla hajafika mbali iwapo mvuke wa pteroli utamgusa basi atakufa polepole kulingana na wingi wa petroli iliyomgusa.
(b) Leta nguchiro kama watano hivi eneo alipo
(c) Tafuta jamaa wa maliasili-wanyamapori wadili naye
Je alihama?Mkuu huyu tumeshawahi kuwakurupusha mara nyingi, utakuta ukienda chooni usiku unamkuta kajinyoosha kwenye paa huku kichwa kakiweka kama anataka kukining'iniza hivi
Ilifikia kipindi ikawa kuingia chooni mwisho saa kumi na moja jioni na asubuhi inabidi uingie saa moja jua likiwa limechomoza
Tulivyoona hivyo ndo tukachukua ile chumvi ya mawe ( yenye mabonge mabonge isipitia kiwandani )
Tukakoleza moto wa kutosha kisha tukamwaga kama kiganja kimoja hivi sasa bwana ilipoanza ile Ta ta ta ta ta tukaona jamaa anajiseti kwanza hapo wote tulikua tumejihami na maji ya moto kusema kua ukiona anakufata tu mmwagie aungue kidogo kisha tumuue alivyotoka hapo hizo mbio nilikubali, nikajikuta naanza mazoezi ya kukimbia ili kujiandaa kama siku akinitoa nduki
dahHuyo atakuwa "KOBOKO WA KINONDONI".
ipo; nadhani ni compound fulani ya Sulphur. Hata hivyo petrol ni fumigant nzuri sana kwa kazi hiyoHivi hakuna dawa ya kufanya famigesheni kuwahamisha hao wadudu?
Mchanganyiko wa tongotongo, makamasi, makohozi, na utokoNgogwe ndio kitu gani mkuu?
AsanteiPod; nadhani ni compound Fulani ya Sulphur. Hata hivyo petrol ni fumigant nzuri Sana kwa kazi hiyo
Ukiwatajia huyu nyoka hawaji, labda uwadanganye kuna swala kaonekana kijijini huko.Ushauri tafuta watu wa maliasili wadili nae. Ni hatari mkuu.
Ukiwatajia huyu nyoka hawaji, labda uwadanganye kuna swala kaonekana kijijini huko.
HAhhaa. DaahUpo sehemu gani ili tunaogopa nyoka tusikaribie kabisa maeneo hayo?