Koboko (black mamba) ana kiburi, jeuri na dharau sana ila nitamfundisha adabu

nitamuua.... hawezi kunishinda.
UPo wapi mkuu? Kama upo Dar nahitaji kuja kumuona huyo kiumbe anayekusumbua

Ila waweza kumtimua kwa chumvi

koleza mkaa kwenye jiko la mkaa kisha nunua ile chumvi ya madonge madonge chota kama nusu kiganja hivi kisha mwaga kwenye jiko la mkaa uliokolea utaona atakavyokurupuka
 
Duh sasa akikurupuka si ndio taflani yenyewe?
 
Anakimbia na harudi tena
mi nilishawahi kukutana nae huko bush ile natoka tu home naelekea mtoni nae alikuwa anakatiza njia sasa kuniona akaziba njia hakuna kupita yaani akajinyoosha kati kati ya njia huku akiniangalia na mimi nikawa nimemkazia macho tunaongea kwa kutazamana baadae huyoo akaendelea na safari yake na mimi nikaendelea na safari yangu

Ila eneo hilo nikipita huwa nakuwaga na spidi 260 yaani hizo mbio zake Kama ndege inataka kupaa
 
Dah sijawahi kumuona hila sitamani kumuona. Inavyoonyesha ni dubwana la kutisha kweli
 
Anakimbia na harudi tena
mi nilishawahi kukutana nae huko bush ile natoka tu home naelekea mtoni nae alikuwa anakatiza njia sasa kuniona akaziba njia hakuna kupita yaani akajinyoosha kati kati ya njia huku akiniangalia na mimi nikawa nimemkazia macho tunaongea kwa kutazamana baadae huyoo akaendelea na safari yake na mimi nikaendelea na safari yangu

Ila eneo hilo nikipita huwa nakuwaga na spidi 260 yaani hizo mbio zake Kama ndege inataka kupaa
koboko hana tatizo kama hakuwahi bughudhiwa au jeruhiwa,na hatembei usiku..ila kwa chumvi hata cobra hakimbii
 
Mkuu kama unataka tu kujaribu kumuua na huna uhakika utafanikisha hilo achana na huyo nyoka,
 
Habari za muda wandugu,

Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.

Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.

SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.

ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
Uwe makini sana koboko wana tabia ya ubakaji
 
Wewe mwenyewe unajua jinsi gani nakupenda financial wangu..
Me namuogopa yanini nidanganye...? Ni mapema sana kuukosa upendo wako kizembe hivi nikuache mjane.
Hahaaa, bora umeongea ukweli tu, nijue kabisa sina any support from you kama huyo kiboko akitokea mbele yetu, sipati picha utakavyotimuka kivyako ,tutakutana homee
 
Back
Top Bottom