Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 3,971
- 4,479
UPo wapi mkuu? Kama upo Dar nahitaji kuja kumuona huyo kiumbe anayekusumbuanitamuua.... hawezi kunishinda.
Ila waweza kumtimua kwa chumvi
koleza mkaa kwenye jiko la mkaa kisha nunua ile chumvi ya madonge madonge chota kama nusu kiganja hivi kisha mwaga kwenye jiko la mkaa uliokolea utaona atakavyokurupuka