Na mi nimekomenti kwa maana ya nyoka halisiHahahahahahaa pole sana mkuu japo mtoa maada hananishi nyoka halisi
Acheni kumtisha Jamaa yetu shujaa Mwanaume wa Mkoani,nyie Wanaume wa Dar endeleeni Kula chips yaiMkuu hao viumbe sio wamchezo angalia asikudhuru hataniwi muache tu
hahahaUpo sehemu gani ili tunaogopa nyoka tusikaribie kabisa maeneo hayo?
Mkuu naona umerudi kivingine, karibu sanaZamani sana niliwahi kumkuta kwenye ka kichaka fulani hivi lakini nilikuwa cjajua kama ni yeye, nikaanza kumrushia mawe na fimbo yeye akawa anajirudisha nyuma na mi namfuata, ghafla nikastukia nanyakuliwa navutwa kwa nguvu kurudishwa nyuma, wakati bado nashanga shangaa nikatulizwa na vibao viwili matata sana, akili kuja kukaa sawa nikamsikia aliyenivuta anasema (mama mmoja hivi hata simjui) we mtoto mjinga sana, hivi KOBOKO ni kuchezea hivyo unadhani huyo ni kifutu eeh (KIFUTU ni yale manyoka manene ambayo ni nadra sana kukuuma, lakini likikuuma unaoza kwa haraka sana kuanzia pale ulipoumwa)
Kumbe lile dude wakati linarudi nyuma lilikuwa limeshakasirika, basi ile jioni tukasikia kwenye ka kichaka kalekale mbuzi 12,ngombe 2, kondoo 4 na mchungaji wao walikuwa wamepoteza maisha, basi yule mama aliyeniokoa pale kimiujiza akaja kusema nyumbani......nikajikuta nachezea kipigo kizito kutoka kwa mama, halafu baadae ndio akanipa darasa kuhusu hilo DUBWASHA......ndugu yangu wewe nakusihi tu ungeachana na huo ujinga unaotaka kujaribu kuufanya
Akikugonga ukafa...utuletee na mrejesho pia...
Huyo jamaa hachezewi wala hataniwi...ukisema upambane nae...utakufa wewe yeye atabaki...
Huyu mnyama ni bora umsikie tu,, na ukijaribu kumchokoza yatakayokukuta huu yako
Mkuu hao viumbe sio wamchezo angalia asikudhuru hataniwi muache tu
Uwe makini sana, kuna mwenzako aliyewahi kumtafuta kama wewe. Alipofika Alipokuwa, akawa anachomachoma kwenya majani alipoingilia.
Akachoma mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nyoka akapanda na fimbo yake iliyo mkononi na kumuumauma. Haikuchukuwa muda jamaa akavuta.
Kwa hiyo uliposema hivyo umenikumbusha yule marehemu.
Umeandika wosia?
Alete na picha anapoenda kuzikwa baada ya kugongwa na huyo kiumbe.
Hao viumbe hawanaga utani kabisa...
Ushauri tafuta watu wa maliasili wadili nae. Ni hatari mkuu.
aisee mbona mnamtisha sana?Hii koboko nyoka kweli au mambo ya codes
Kwa Hiyo una mpa ushauri gani huyu...... mtarajiwa? (Kama akienda kumchokoza kweli lakini)Uwe makini sana, kuna mwenzako aliyewahi kumtafuta kama wewe. Alipofika Alipokuwa, akawa anachomachoma kwenya majani alipoingilia.
Akachoma mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nyoka akapanda na fimbo yake iliyo mkononi na kumuumauma. Haikuchukuwa muda jamaa akavuta.
Kwa hiyo uliposema hivyo umenikumbusha yule marehemu.
Acheni kumtisha Jamaa yetu shujaa Mwanaume wa Mkoani,nyie Wanaume wa Dar endeleeni Kula chips yai
Na mtoa mada kajifanya foreign affairs..kwamba hiyo press ya kesho ndio kwenda kummaliza koboko...hahahaKoboko ni jiwe tayari code imekua unlocked
Koboko mmoja anaweza akang'ata watu 100, mmoja baada ya mwingine...na wala asichoke...lbd mkimbie wenyewe...Duuuuuh..mkuu kuwa makini..huyo kiumbe msikie tu
Mimi nilipo kwasasa ni nje ya mji na hao jamaa wanaishi jirani tu kama mita 200 kutoka kwenye makazi ya watu...kuna mchunga ng’ombe alipita na mifugo yake ikawa kero kwa wajomba ..huwezi amini baada ya dakika 40 ng’ombe 20 walikuwa walipotoka kabla hawajaja duniani..
kesho kuna press gani mkuu... Kuna mpumbavu gani anataka kuongeaNa mtoa mada kajifanya foreign affairs..kwamba hiyo press ya kesho ndio kwenda kummaliza koboko...hahaha