Kobe vs Lebron

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
834
As it stands right now who is the best player in the NBA? Kobe or Lebron? And when there careers are all over who is more likely to be on top of the other? Kobe is the 2007/2008 league MVP. Lebron of course is the current MVP.

Kobe-vs-Lebron_COVER___484x363.jpg
 
No mkuu. D. Wade is the All Stars game MVP. I'm talking about league MVPs. D. Wade alikua MVP 2006.

He he..MVP bila specification ??

Nways, ninavyoona Kobe akiendelea kuwa LAL atakuwa na mafanikio zaidi kuliko King James kwa sababu ya massive investments pale ikiwemo current trend ya teammates ambao wana mioyo ya champions. This is the way I see it.
 
Aiseee nami nashindwaga sana kusema nani mzuri kuliko mwingine!!wote watamu sana aisee duu....nashindwa!!
 
Ok mkuu ngoja nirekebishe niweke kabisa league MVP ili isi changanye wengine.

Asante kwa jibu lako mkuu. Mimi nita kubaliana na wewe kwa sababu tofauti. Currently Kobey ana 4 championships na kuna uwezekano mkubwa wa kuongeza 1 or 2 more. I don't thing LBJ ana weza kushinda 4 titles na Cavaliers. Mara nyingi sana nimewaona wanaenda vizuri kwenye regular season but they fail to close the deal. Kama ita baki kuwa hivyo it's hard for LBJ to win multiple championships na as we all know championships are a significant measuring stick.
 
Statistically Kobe is better but then again Lebron is much younger than Kobe so he still has time to build that up. One big difference however is that when Kobe was Lebron's age he already had 3 championships. Now whether those championships were won largely due to Kobe or his former teammate Shaquile that is debatable. I think kama Lebron angekua na mchezaji kama Shaquile(but younger, not a 36 year old Shaq) ange kuwa na chance kubwa sana ya mafanikio.
 
Ok mkuu ngoja nirekebishe niweke kabisa league MVP ili isi changanye wengine.

Asante kwa jibu lako mkuu. Mimi nita kubaliana na wewe kwa sababu tofauti. Currently Kobey ana 4 championships na kuna uwezekano mkubwa wa kuongeza 1 or 2 more. I don't thing LBJ ana weza kushinda 4 titles na Cavaliers. Mara nyingi sana nimewaona wanaenda vizuri kwenye regular season but they fail to close the deal. Kama ita baki kuwa hivyo it's hard for LBJ to win multiple championships na as we all know championships are a significant measuring stick.

Ha ha ha..sawa bradha.

Ni kama ulivosema, timu unayochezea ina kusaidia kufikia malengo yako kama mchezaji binafsi. Ni kitu kilekile kinachomtokea Chris Paul, the best point guard in the planet na D. Wade (ingawa alionja ubingwa hapo majuzikati na Shaq). They are good basketballers lakini timu ina-matter sana kwenye hatua critical.

Unakumbuka last season jinsi akina Fisher, Odom na Ariza walivo-step up kwenye right moments?? Hivo ndio mara nyingi tofauti inapojitokeza kati ya champions na mshiriki wa kawaida.
 
This summer atakua free agent. It's a good opportunity kwake kutafuta a championship ring or kutumia ufree agent kama leverage ya kuwapa management ya Cavaliers kutafuta wachezaji wa maana.. Tatizo tu ni kwamba sijui what's more important to him....making lot's of money or winning titles. Maana alisha state kwamba anataka kuwa a billionair athlet na mara nyingi amekua akisema muda wake wa ufree agancy ukija atamke a choice kama businessman. Sasa sometimes those two might be conflicting maana to make a lot of money it means the other players in your team are gonna have to be players who are paid less. If that happens it means there won't be depth in the team coz no top players are going to take a huge salary cut.
 
Basi kama anaeza kuegemea kwenye faranga it will be a great great loss of a talent. There is no enough money under the sun. Huenda ametokea kwa familia maskini na anadhani he is not there yet living the American dream lakini ni vizuri kwa mchezo wa kikapu kama akienda timu ya maana. In 10 years atakuwa pensioner with no 'ndoo' hata moja kwenye loka au closet, inakuwa haimek sense.

Sijui bana personal choice zake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom