Kobe atua italy

Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
615
322
Mchezaji wa los angeles laker kobe joe brayant amehamia italy kwenye moja ya team za basketball nchin humo kwa mkataba wa mwaka mmoja..lakin atakuwa anachezea lakers pale anapohitajika..source NBA
 
Kobe amechemka kwa nini asibaki Lakers full time! My favourite NBA player
 
Kobe amechemka kwa nini asibaki Lakers full time! My favourite NBA player

Ninachojua wachezaji wote NBA wako lock up kwa sababu ya disagreement ya mafao yao na wamiliki wa timu. Hivyo wachezaji wengi wenye nafasi wameajiriwa na timu za Ulaya mpaka NB itakapokamilisha mazungumzo na wamiliki wa timu na kukubaliana.

NBA training ilitakiwa iwe imeshaanza lakini kwa sasa imesitishwa kwa hoja hii.

Hivi si kweli na mtoa mada kwamba Kobe kahamia timu ya Italy, ila yupo huku kwa mkataba wenye condition ya to wave back to Lakes when NBA establish the training and regular seasonal status.
 
haawa wanaahangaika ili wawe fiti
jiulize hasheem thabit yupo wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom