Mchezaji wa los angeles laker kobe joe brayant amehamia italy kwenye moja ya team za basketball nchin humo kwa mkataba wa mwaka mmoja..lakin atakuwa anachezea lakers pale anapohitajika..source NBA
Ninachojua wachezaji wote NBA wako lock up kwa sababu ya disagreement ya mafao yao na wamiliki wa timu. Hivyo wachezaji wengi wenye nafasi wameajiriwa na timu za Ulaya mpaka NB itakapokamilisha mazungumzo na wamiliki wa timu na kukubaliana.
NBA training ilitakiwa iwe imeshaanza lakini kwa sasa imesitishwa kwa hoja hii.
Hivi si kweli na mtoa mada kwamba Kobe kahamia timu ya Italy, ila yupo huku kwa mkataba wenye condition ya to wave back to Lakes when NBA establish the training and regular seasonal status.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.