km mwanume inaniboa kabisa!!

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
Helo wanawake wanatafuta wanaouita usawa toka kwa wanaume kwa njia inayoboa sana, ebu nimekumbuka matangazo ya namna hii!!
tangazo la kazi ' we are an equal employer org but women are highly encouraged to apply'' , hii sio sahihi hata kidogo, usawa na wanawake wapambane, hatutaki upendeleo, km nafasi za kuteuliwa wabunge, ooh kuingia vyuo na maksi dhaifu kuliko wanaume, hii tunajenga taifa mfu, itakuja kutubite huko mbele ya safari, tutamlaumu nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom