Km kila kiongozi wa CCM anasema wazi mtu wake na kumnadi nani atasimamia uteuzi ccm?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
CCM ni chama cha jabu sana na kina upuuzi mkubwa sana.Tumewasikia viongozi wote wa CCM wakisema wazi nani wanamtaka,na nani hawamtaki.Tumesikia wazi wengine wakitukanana na vijana kupigana na wazee au kuwatukana na baadae kupewa pongezi.Sasa km ni hivyo CCM watapata nani asiye biased wa kusimamia uteuzi wao?Kwa nini sasa hivi wasiface reality tuu na kukubali kuwa game limekwisha.Nani atakubali nani asimamie au awepo ktk jopo?Kwanini wasipoteze muda ktk hili kuliko kumaliza nguvu zao kwa kujidanganya kushambulia upinzani?
 
haha ccm wee eeeeeee eeh......Ayaoutoullah na mvi,Ayatoullaha na Nyumba Nyeupe,Nyumba nyeupe na Kaskazini, ayoutoulah na kaskazini,Ayoutoullah ana Vuvuzela, Mbona Kila corna km Mzee wa MVi anazugwa?
 
Back
Top Bottom