Klio cha Mapenzi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
Kilio cha mapenzi;hivi ni akina nani unafikiri wanaongoza kuvuruga wengine...wanawake wanawavuruga wanaume, au wanaume ndio wanaowavuruga wanawake zaidi?
 
Nafikiri wanaume wanatisha,maanake mhhhhhhh..................................
 
Itasaidia nini kujua?! Watu hawataacha mapenzi!! watu hawatakua makini zaidi?!!

Sasa tunayasema haya ili iweje?!
Ama ndio kupunguza stress tu kwa kutaja nani mwongo zaid!
 
Mapenzi hukamilishwa na watu wawili (Me na Ke)...hivyo si haba kusema tunavurugana...

watu8 siku hizi wala c lazima Me na Ke ndio kuwe na mapenzi hata Me na Me na kinyume chake Ke na Ke wanaweza kuwa na mapenzi pia. Enzi za Mwalimu sawa lakini siku hizi aah wala huhitaji jinsia tofauti jinsia moja pia mambo yanaenda. Kurudi kwa topic, nionavyo mimi ni bila kwa bila.
 
Me na Me au Ke na Ke hayo si mapenzi mkuu bali ni UFIRAUNI...
watu8 siku hizi wala c lazima Me na Ke ndio kuwe na mapenzi hata Me na Me na kinyume chake Ke na Ke wanaweza kuwa na mapenzi pia. Enzi za Mwalimu sawa lakini siku hizi aah wala huhitaji jinsia tofauti jinsia moja pia mambo yanaenda. Kurudi kwa topic, nionavyo mimi ni bila kwa bila.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom